Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Hii ni nafasi ya kuwashtua na goli la pili
Keshatupia mkuu..Rashford ubinafsi ni goli kiki
Naona Rashford anatukumbusha mambo ya David Beckham [emoji23]Ni bao jema kabisa
Martial au Mata angeingia anakosa goli nyingibado lingard anafanya nn humu ndani