Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Yule dogo dembele ni hazina kubwaUpo sahihi mkuu....ingawa namuangalia Dembele naona kama mbeleni atakuwa mchezaji mzuri na bei yake itaenda juu sasa ni kwann tusimchukue sasa hivi akaanza kucheza pale taratibu bila pressure lakini pia kwa bahati mbaya maurino hawezi kufanya kazi na watoto kama hawa
Mbappe ni kweli hata mim namfananisha na Rashford naamini timu itakayo mnunua huyu watakuwa wamejipatia Rashford wao
sidhani kama kuna sehemu yoyote kwenye hayo mazungumzo nilipokuhakikishia kwa % 100 kuwa hao watu wanafaa, nilichofanya nikuangalia viwango vyao then nika compare na wachezaji wetu tulionao and i wished for my team to own them.Braza, naomba nikuulize: umetumia vigezo gani kufikiri hao uliowataja watafaa United? Unaelewa timu ina mtu anayelipwa mshahara kufanya scouting ya wachezaji? Ina maana wewe una resources kama alizo nazo huyo mtu mpaka useme hao uliowataja wanafaa kwa United?
Naelewa unapotokea, lakini tuwe pia rational katika maongezi yetu.
Nadhani obrak wa atletico Madrid ndio mkali kuliko PeterIf David De Gea departs, a Schmeichel could once again be in goal at Old Trafford, as United are reportedly front-runners to sign Leicester City's Kasper Schmeichel .
Once a red, always a red.
do it Tom
Karibu sana mkuu jisikie upo old TraffordHabarini wana GGMU wenzangu!
Mimi ni nyukama kdg hapa naombeni mnikaribishe!
Pia kwa mwenye kuwepo ktk grupu la man utd whatsapp naomba anistue nimPM no. Yangu aniadd[emoji1431]
Once again GGMU!
Kabisa mkuu nliwaangalia celta kwenye game na Genk wanafunkika nje ndani waleAlhamisi inabidi tumalize mchezo kulekule spain,tukipigwa au kudraw,hakika fainali tutaisikia tu..
Last weekend walipumzisha key players wakafungwa 3-0 La LigaKabisa mkuu nliwaangalia celta kwenye game na Genk wanafunkika nje ndani wale
Wamepania sana hii game tuwe makin na kina aspas winga zao zina speed hatariLast weekend walipumzisha key players wakafungwa 3-0 La Liga