Sahihi kabisa,Blind anamapungufu mengi akicheza namba 4,kuliko namba 6,na kwa kuwa Rojo ni majeruhi na hatuna mbadala wake,moja kwa moja Blind anapata nafasi so leo anatakiwa kuwa makini sana hasa kwenye counter attack,City Wana Watu wazuri na wepesi kwenye nafasi za ushambuliaji.
Saa nyingine natamani leo Carrick acheze full back akisaidiana na Baily kama namba 4 wake.
Mbele tukaweka Viungo na washumbuliaji Wenye kasi Zaidi.
Mkataba wake unakipengele cha yeye kucheza dakika zote anapokuwa fit na Evaluation yake itafanyika baada ya msimu mmoja.
Hope mwakani asipojituma na kuonyesha thamani yake basi bench litamuhusu kama tutafanya usajili mwingine katika nafasi yake,now hana mbadala ndio mana anakata viuno tu uwanjani.
Pogba ni mchezaji mzuri sana Zaidi tunavyomjuwa,namfatilia toka akiwa kinda United pale na mafanikio yake kule Juve lakini sijajuwa nini tatizo tangu aje United ameshindwa kuonesha kipaji chake halisi.
Ila ni Fundi hasa dimbani hasa akiwa dimba la Juu nyuma ya washambuliaji.
Haaa haaa haaa humjui Mou, huwa hafungwi mara mbili au tatu mfululizo na kocha mmoja,anamfahamu vizuri sana Gurdiola na anazifahamu mbinu zake,ameshajuwa udhaifu wa Pep kutokuwa na aina ya wachezaji watakaomfanya atumie mifumo yake.
Leo tutawabana Man City vizuri kabisa,sioni Ushindi mkubwa ila Man U anashinda ama Droo.