Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa ulitaka wafate za kwako? Hiyo ndio kazi ya Mourinho
Kazi ya kocha ni kuiweka mikakati kulingana na vipaji vya wachezaji wake.

Na kwenye hilo, Mourhnio hana mpinzani.

Tangia Chelsea watufunge nne mtungi Mourhnio kabadili staili na mikakati ya mchezaji na leo mechi 22 kwenye mashindano yote hatujafungwa na Chelsea leo kakiri hilo tena kwa kuzabwa bila yeye kupiga shuti hata moja golini.

Mourhnio siyo utaniiii
 
Leo mnatusumbua mjini ..kushinda leo basi imekuwa ni kelele ...
shindeni na kwa toti sasa ...acheni kelelee
 
ni kwenye ligi tu mkuu
GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…