Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kafanya nn cha maana ? Unaongea 7bu man kashinda ! Kacheza mechi ngap mpk leo ndo 2mkubali ? Na ndo mcmu wake qa mwisho huu huyu kuli wako
 
Hawa washabiki wengine upeo wao unaishia simba na yanga.
Sifa moja ya Mourinho ukimfunga mara ya kwanza next game anakuwa amejifunza so inabidi ujiandae sana,Game ya kwanza El Classico Pep alimfunga 5au 6 game zilizofuatia Pep alikuwa anapata tabu sana na msimu huu baada ya kufungwa na Pep na Conte mechi zilizofuatia amewapa wakati mgumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…