Hata last season Martial magoli mengi alifunga akitokea pembenisasa kweli hata diego costa tukimpeleka pembeni angekuwa ameshinda hizo goli alizonazo..afu sio kwamba martial pembeni hachezi vizuri,ila ni chanse za kucheka na nyavu zinapungua..
So far Lingard,Mikhi,Rashford,Mata wana guarantee kuwepo next season na Mourinho ameshasema foward ni mbovu so ni wazi atasajili Forward Martial anapaswa kuongeza bidii otherwise Jose ataamuuza kama timu zikimtakaAkiuzwa nitasikitika sana.
Mkuu kama jana basi wengine hatucheck game tupo mbali Fanya msaadaTunahitaji bao la pili kukata mzima wa fitina
Uchovu na umriSijui kwanini Zlatan hayupo First XI ?
SawaMkuu kama jana basi wengine hatucheck game tupo mbali Fanya msaada
WIKI IJAYO UEFAUchovu na umri
nashukuru kaka Nazi nzuri hiiChelsea wanagongeana golini kwao