Samehe na sahauSisi wengine tutakua tunarudi kukuulizeni si tuliwaambia? Mukatuambia tuhame timu?
Mkuu tuwe wavumilivu tu, lakini ukiangalia waliouzwa na walioachwa unaweza kusema wameamua timu kuihujumu, dah sina hamu hata ya kuangalia mechi zetutumepoteza muelekeo, nahisi wachezaji hawajui nini cha kufanya na hakuna anayefikiria vizuri, hata kama itatokezea umekosa kuangalia mpira wa manchester takribani mechi 5 zilizopita basi hutaona tofauti yoyote ile ya aina yetu ya soka tunalocheza, cross after cross,useless run,kurudisha mpira nyuma.
nahisi ferguson aliondoka na timu yake aliyoitengeneza kwa miaka 24 kilichobaki sasa hivi ni kiwiliwili tu chenye jina la manchester ila roho haipo tena,
siwezi kumtetea tena mourinho kwa matendo anayoyafanya kwa sababu amenifanya niwe miongoni mwa wapumbavu haliyakuwa si mpumbavu kwa sababu.
Lindegaard, Rafael, Evans, Rio, Buttner, Nani, Anderson, Cleverley, Welbeck, Kagawa, Chicharito.
- amenilazimisha niamini ya kwamba fellaini ni perfect midfielder kuliko bastian
- amenilazimisha niamini ya kwamba damian na blind wanastahili kucheza zaidi kuliko luke shaw kwa kisingizio cha makosa aliyofanya mechi ya watford
- lingard na rashford wanastahili dakika nyingi kuliko rooney
nahisi kikosi hiki kilikuwa ni kikosi bora kuliko kikosi cha sasa hivi.
inaumiza kuona tottenham wana timu bora kuliko sisi.
Umefaham leo mkuu wangu?ngoja nianze kujipa imani kwamba uwezo wa mou ndio unapotea mdogomdogo
Mtoe Evans hapotumepoteza muelekeo, nahisi wachezaji hawajui nini cha kufanya na hakuna anayefikiria vizuri, hata kama itatokezea umekosa kuangalia mpira wa manchester takribani mechi 5 zilizopita basi hutaona tofauti yoyote ile ya aina yetu ya soka tunalocheza, cross after cross,useless run,kurudisha mpira nyuma.
nahisi ferguson aliondoka na timu yake aliyoitengeneza kwa miaka 24 kilichobaki sasa hivi ni kiwiliwili tu chenye jina la manchester ila roho haipo tena,
siwezi kumtetea tena mourinho kwa matendo anayoyafanya kwa sababu amenifanya niwe miongoni mwa wapumbavu haliyakuwa si mpumbavu kwa sababu.
Lindegaard, Rafael, Evans, Rio, Buttner, Nani, Anderson, Cleverley, Welbeck, Kagawa, Chicharito.
- amenilazimisha niamini ya kwamba fellaini ni perfect midfielder kuliko bastian
- amenilazimisha niamini ya kwamba damian na blind wanastahili kucheza zaidi kuliko luke shaw kwa kisingizio cha makosa aliyofanya mechi ya watford
- lingard na rashford wanastahili dakika nyingi kuliko rooney
nahisi kikosi hiki kilikuwa ni kikosi bora kuliko kikosi cha sasa hivi.
inaumiza kuona tottenham wana timu bora kuliko sisi.
Kwanini amtoe?Mtoe Evans hapo
Hawa Everton huwa wagumu lakini kutokana na hizi droo ninatabiri mvua ya magoli leo.
Manutd 3-1 Everton
View attachment 491099
wanakaa 2 bila hawa
Manutd v. Everton inaanza saa nne usiku. Tusikose kujionea tunavyopanda chati
Timu ni nzuri ila umaliziaji na linesman alituuma bao la IBRA. Pia kipindi cha kwanza tumekuwa na tabia ya kuanza polepole mno na hii huwapa upinzani kujiamini kuwa tunafungika. Mechi ile ya Chelsea hakuna tulichojifunza kujituma kipindi cha kwanzaTimu now ni mbovu sana
binafsi nilikuwa namuona kama garasa tu, alikuwa anafanya mistake nyingi sana, few times ndo alikuwa akikaa anakuwa ametulia but majority of time akicheza lazima maboko yawepoKwanini amtoe?
Kama linesman angelitenda leo lugha ingelikuwa ni tofauti kabisaSiku J. Carragher Aliyostaafu Kuichezea Liverpool na Nikamkuta Kavaa Jezi Ya Everton Huku Akihudhuria Mazoezi Ya Everton! Nilijua Tu Ninasmell Something fishy......
Everton Ndiye Aliyeizaa Liverpool, Sasa Mtoto Kadraw ndani Ya OT, kweli Baba Na yeye Akubali Kufungwa ndani Ya OT?.... Si itakuwa aibu Baba kuipata kwa Mtoto...
My Take: "Merseysiders will remain to be Merseysiders"..... All Merseysiders (Everton & Liverpool) Have the Same Enemies... No one else but Man U, Man City and Leeds U....
Umeona eeh timu haina mipango kabisa back pass zimekuwa nyingi kuliko pas za kwenye lango la wapinzani huwez shinda mechi au ubingwa kwa plan ya pass ndefu tuTatizo letu ile timu attacking tunatumia long balls tu ndio maana tunapoteza sana nafasi, hatuna uwezo wa kupasi haraka.
Sio mbaya, mlishafunga magoli mengi tu ya offside msimu huu. Hili la kunyimwa wala msihuzunike.Timu ni nzuri ila umaliziaji na linesman alituuma bao la IBRA. Pia kipindi cha kwanza tumekuwa na tabia ya kuanza polepole mno na hii huwapa upinzani kujiamini kuwa tunafungika. Mechi ile ya Chelsea hakuna tulichojifunza kujituma kipindi cha kwanza