Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Manutd 0-0 WB(FT)
Tulishasema zamani hatuna timu ya ushindani, so usitegemee icho kitu, nafasi yetu ni ile ile ya 6Hii timu yetu inakera sana.Sijui hata kama hiyo top 4 itapatikana
Ni kweli.Wako slow sana.Tulishasema zamani hatuna timu ya ushindani, so usitegemee icho kitu, nafasi yetu ni ile ile ya 6
Nayo kushinda sanaTop 4 ngumu wakuu, njia pekee ya kurudi UCL ni kushinda Europa League.
Huu ndio ukweli ila kuna baadhi ya fans hawataki kuamini, kwa aina ya wachezaji tulionao hatutomaliza ndani ya Top4Tulishasema zamani hatuna timu ya ushindani, so usitegemee icho kitu, nafasi yetu ni ile ile ya 6
Unafaham uzuri wa Zlatan upo wap?Hahahaha nacheka kama mazuri aisee labda tuna la kusema lakini nimeamini zlatan muhimu sana mnamsemaga bure tu mzee yule. Leo timu haieleweki rashford sio central striker na hawezi kukaa kati anahama sana..
Huu ni ukweli mchungu kwetu ma fans Wa man uHuu ndio ukweli ila kuna baadhi ya fans hawataki kuamini, kwa aina ya wachezaji tulionao hatutomaliza ndani ya Top4
Kubeba Europe Cup tusahau mkuu, kwa wachezaji tulionao ni ngumu sana.Top 4 ngumu wakuu, njia pekee ya kurudi UCL ni kushinda Europa League.
Tatizo la kukosa/kufunga magoli ni la timu nzima,niliwahi kusema huko sio Zlatan tu anayepoteza nafasi za kufungaHahahaha nacheka kama mazuri aisee labda tuna la kusema lakini nimeamini zlatan muhimu sana mnamsemaga bure tu mzee yule. Leo timu haieleweki rashford sio central striker na hawezi kukaa kati anahama sana..



Wapo wanaosema Zlatan ni mzee anakosa sana magoli bora aanze Rooney.Unafaham uzuri wa Zlatan upo wap?
Anajua kuji'position muda na wakati sahihi, experience inamsaidia sana, Rashfod simraumu, kiwango chake kimeishia pale