Abuu Said JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 4,009 Reaction score 4,769 Mar 17, 2017 #61,801 xaidjr said: . Tunaanzia ugennini let's go reds ggmu Click to expand... oooops...afadhali atukutani na Samatta
xaidjr said: . Tunaanzia ugennini let's go reds ggmu Click to expand... oooops...afadhali atukutani na Samatta
Alisina JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 4,275 Reaction score 4,607 Mar 17, 2017 #61,802 xaidjr said: Borah atujapangiwa Spanish team wabaya sana ila hope we will reach semi final Click to expand... Kwa hiyo ulikuwa unaogopa Spanish team..? Hao celta tungewatia adabu.
xaidjr said: Borah atujapangiwa Spanish team wabaya sana ila hope we will reach semi final Click to expand... Kwa hiyo ulikuwa unaogopa Spanish team..? Hao celta tungewatia adabu.
The Bodmas JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 405 Reaction score 403 Mar 17, 2017 #61,803 hatari sana watu wa 3 ndani Team of the week GGM
The Bodmas JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 405 Reaction score 403 Mar 17, 2017 #61,804 Najua samatta ameumia sana maana yeye alitaka tupangwe nao ili aje tu old Trafford ....wakampinge sasa huyo celta ili aje
Najua samatta ameumia sana maana yeye alitaka tupangwe nao ili aje tu old Trafford ....wakampinge sasa huyo celta ili aje
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 17, 2017 #61,805 Transcend said: Nimeona Rojo akila ndizi ... What happened? Click to expand... kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna
Transcend said: Nimeona Rojo akila ndizi ... What happened? Click to expand... kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Mar 17, 2017 #61,806 Mc Tilly Chizenga said: kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna Click to expand... Utakua na ugonjwa wa akili.
Mc Tilly Chizenga said: kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna Click to expand... Utakua na ugonjwa wa akili.
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 17, 2017 #61,807 Rutashubanyuma said: Fellaini leo anawakawaka Click to expand... mkuu, jana Fellaini alikuwa binadamu mwingine kabisa, vyenga na kanzu anaveka watu!!!kweli Kocha akikuamini mchezaji unabadilika
Rutashubanyuma said: Fellaini leo anawakawaka Click to expand... mkuu, jana Fellaini alikuwa binadamu mwingine kabisa, vyenga na kanzu anaveka watu!!!kweli Kocha akikuamini mchezaji unabadilika
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 17, 2017 #61,808 kisu cha ngariba said: Utakua na ugonjwa wa akili. Click to expand... kaka....imekuwaje tena ghafla from no where unanitukana??
kisu cha ngariba said: Utakua na ugonjwa wa akili. Click to expand... kaka....imekuwaje tena ghafla from no where unanitukana??
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Mar 17, 2017 #61,809 Manchester United boss Jose Mourinho makes plea to Premier League over fixture schedule
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 17, 2017 #61,810 kisu cha ngariba said: Utakua na ugonjwa wa akili. Click to expand... mkuu,mbona umenitukana??unaweza ukaniambia nimekosea wapi kustahili kuambiwa maneno haya??
kisu cha ngariba said: Utakua na ugonjwa wa akili. Click to expand... mkuu,mbona umenitukana??unaweza ukaniambia nimekosea wapi kustahili kuambiwa maneno haya??
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,784 Reaction score 129,583 Mar 17, 2017 #61,811 Mc Tilly Chizenga said: kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna Click to expand... Alikula ndizi. Marcos Rojo alionesha dalili za kubanwa na misuli. Sababu kuu ya kubanwa na misuli ni upungufu wa sukari(glucose) ndio maana tiba ya kwanza ya haraka ni kula ndizi au chocolate. cc: Transcend
Mc Tilly Chizenga said: kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna Click to expand... Alikula ndizi. Marcos Rojo alionesha dalili za kubanwa na misuli. Sababu kuu ya kubanwa na misuli ni upungufu wa sukari(glucose) ndio maana tiba ya kwanza ya haraka ni kula ndizi au chocolate. cc: Transcend
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,428 Reaction score 24,145 Mar 17, 2017 #61,812 Genk safari imewadia Hatoboi hapo
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 17, 2017 #61,813 Kumekuchaaaaa!
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Mar 17, 2017 #61,814 Mc Tilly Chizenga said: mkuu, jana Fellaini alikuwa binadamu mwingine kabisa, vyenga na kanzu anaveka watu!!!kweli Kocha akikuamini mchezaji unabadilika Click to expand... Yaani Mourhnio ni kocha siyo utani wachezaji Wengi viwango juu
Mc Tilly Chizenga said: mkuu, jana Fellaini alikuwa binadamu mwingine kabisa, vyenga na kanzu anaveka watu!!!kweli Kocha akikuamini mchezaji unabadilika Click to expand... Yaani Mourhnio ni kocha siyo utani wachezaji Wengi viwango juu
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 17, 2017 #61,815 Mc Tilly Chizenga said: kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna Click to expand... Dooh!! Nouma sana..
Mc Tilly Chizenga said: kilikuwa kikaratasi cha maelezo toka bench la ufundi baada ya kusoma akakitafuna Click to expand... Dooh!! Nouma sana..
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 17, 2017 #61,816 everlenk said: Hahaha safi sana wewe ulipitia Form one B,.........siyo kama .....DB....mie simooooooo!!!!! ......(hapo occupies) Click to expand...
everlenk said: Hahaha safi sana wewe ulipitia Form one B,.........siyo kama .....DB....mie simooooooo!!!!! ......(hapo occupies) Click to expand...
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 17, 2017 #61,817 Wakubwa wanaanza Wadogo wababe wenye uchu wa mafanikio Hiyo wiki itakuwa babkubwa
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,784 Reaction score 129,583 Mar 17, 2017 #61,818 Transcend said: Dooh!! Nouma sana.. Click to expand... Alikula ndizi kuongeza sukari>nguvu mwilini. Ni kawaida kuzuia cramp. Sometimes wanakula chocolate.
Transcend said: Dooh!! Nouma sana.. Click to expand... Alikula ndizi kuongeza sukari>nguvu mwilini. Ni kawaida kuzuia cramp. Sometimes wanakula chocolate.
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Mar 17, 2017 #61,819 Gwakukahja said: Rojo naona taratibu anazidi kung'aa pale OT Click to expand... Licha ya ku-improve kwenye kuzuia now amekuwa anapanda mbele kushambulia
Gwakukahja said: Rojo naona taratibu anazidi kung'aa pale OT Click to expand... Licha ya ku-improve kwenye kuzuia now amekuwa anapanda mbele kushambulia
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Mar 17, 2017 #61,820 Belo said: Licha ya ku-improve kwenye kuzuia now amekuwa anapanda mbele kushambulia Click to expand... Alipanda sababu ya ya Rostov walikuwa wanazuia muda mwingi kuliko kushambulia ndio maana anapanda panda sana mpaka kutoa cross
Belo said: Licha ya ku-improve kwenye kuzuia now amekuwa anapanda mbele kushambulia Click to expand... Alipanda sababu ya ya Rostov walikuwa wanazuia muda mwingi kuliko kushambulia ndio maana anapanda panda sana mpaka kutoa cross