Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Ushindi muhimu lile Jaruba la wale kjamaa duh!
Blind hivi anakiwango kidogo mpaka ashindwe na Damian
Kwanin wasimuweke namba sitaBlind hivi anakiwango kidogo mpaka ashindwe na Damian
Pogba acheze ngapi..Kwanin wasimuweke namba sita
8 au 10!Pogba acheze ngapi..
Huyu mourinho nae anataka kuwa bingwa wa kufeli maana jamaa anajitahidi lakini hapangwiKwanin wasimuweke namba sita
Pogba ndio mzigo kwa tathmini yangu, huwa simuelewi kabisaPogba acheze ngapi..
Juzi alicheza chini ya kiwango saana...Pogba ndio mzigo kwa tathmini yangu, huwa simuelewi kabisa
Nadhan kikos kinaweza kuwa na mabadiliko...8 au 10!
Kikosi bado bhana..hiki nahisi wamepredict tu..Blind hivi anakiwango kidogo mpaka ashindwe na Damian
Kikosi kinaweza kikabadilika, hata Rojo angefaa aanze!Blind hivi anakiwango kidogo mpaka ashindwe na Damian
Nadhan kikos kinaweza kuwa na mabadiliko...
Sijui kwanini mensah hapewi nafasi!! Mi nadhan apewe namba sita yule dogoKikosi bado bhana..hiki nahisi wamepredict tu..
Pogba kabadili tena hair style duuuh
OK.. Na huyu unamwambiaje What a nitwit… Karren Brady mocks Paul PogbaNi maisha yake binafsi. Mbona wewe kila week unanyoa?