Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Japo tumetolewa ila leo nimekubali sana kiwango cha rojo!! huyu jamaa anafaa sana pale nyuma!! Degea nae ameonyesha uimara sana!! ni ukweli usiopingika kwamba leo tumeweza wazuia hawa jamaa!! kila nikikumbuka zile 4, naona kabisa gemu ya leo tumejitahidi sana!! tutakutana nao tena ligi kuu....TUTAWANYOOSHA HAKYANANI!!
 
Asiyekubali kushindwa si Mshindani Vijana wamepambana bahati haikua kwetu ROJO Amefanya kazi yake Vizuri Costa kidogo aombe poo.
Herrera kaharibu Mipango miji yote kapata kadi ya mapema sana,Pogba Vipi aisee arudishe chenji yetu nini?

Kuna ile kitu Valencia Alimrukia NGOLO KANTE daa Enzi zetu tulikua tunaita Handbrake,Tungekua kamili leo hawa jamaa wangelala mapema sana na pia uchovu umechangia ile game ya Rostov haikua ya kitoto pia umbali from Russia to Uk.
Hasira tuhamishie ligi kuu na EUROPA CUP.

Glory Glory forever
 
Tusubiri tu. Wiki tatu tu mbele
 
Japo tulikua pungufu lakini vijana wamepambana mpaka dakika ya mwisho, ndio mpira. sasa nguvu zote zielekezwe kwenye EPL na Europer league,

Good night all utd fans
 
Acha unafiki hata huoni aibu kwanza tumepata red card na kipindi cha pili tumefaiti sana ...babu yupi unayentaja wewe harafu mlinganishe na mchezaji wako
1. Ibra na Rooney.

2. Beef la Mou na Mata litaendelea kumgharimu siku zote.

Kwani red card aliingia nayo ama sote tulianza 11? Rafu mlizocheza leo mngebaki 8 uwanjani wacheni kumlalamikia refa.
 
Wacha nirudi kwetu...
Msimu wa Man Disunited ndio unaanza, msimu wa Chelsea ndio umeisha leo.

Mou ameonja "uhuni" aliokuwa anawafundisha Costa na Hazard wa kujirusha rusha na kujigaragaza hovyo.
 
Kuna uhaba wa marefa watakaoweza kuchezesha mechi kubwa. Kila refa ni mbovu ila uyu wa leo kaendeleza bifu lake.
Kadi 4 nyekundu ndani ya miaka mitatu.
 
Kuna uhaba wa marefa watakaoweza kuchezesha mechi kubwa. Kila refa ni mbovu ila uyu wa leo kaendeleza bifu lake.
Kadi 4 nyekundu ndani ya miaka mitatu.
Ivi wanaopanga marefa si wanajua kabisaa au ndio kusudi...
Unajua kabisa nikimpa mechi ya man utd achezeshe lazima atoe red card au wanabeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…