yalikuwa mambo ya SAF punda afe lakini mzigo ufikeNaona Mourhnio anataka point tatu kwa UDI na uvumba
Uzembe wa wachezaji wa Man Utd ndio unaiweka hio timu. Wapo pungufu, unapewa penati bado huwezi kufunga. Pathetic.Artur Boruc kipa Wa Bournemouth ndiye anaiwekea timu yake matumaini leo
Dakika ya 74 sare inanukia vilivyo
Ibra nilijua atakosa. Haki imetendeka, hakustahili kuwepo uwanjani.
Kwakweli timu itafute mshambuliaji wa kuaminika.. Hizi goli ibra anakosa leo sio kawaida!Ibra nilijua atakosa. Haki imetendeka, hakustahili kuwepo uwanjani.
Hii mechi naona tufungwe tu tushike nafasi ya saba! Unacheza na vibonde huku wapinzani wako wanapambana wenyewe bado tu huwezi kushinda!Ujinga huu
Wacha tufungwe tu kabisa. Ujinga huu.Sikuiona haja ya kumtoa Rooney na kumuacha Zlatan uwanjani mtu ambaye kwa leo anaweza kula Red dakika yoyote na game limemkataa kabisa tangu first half..!! Dah