Man u inabebwa mpaka nahisi ni ukweli. Timu mbovuuu
Utulie hvo hvo.Man u inabebwa mpaka nahisi ni ukweli. Timu mbovuuu
Mwaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Duhhhh namba tatu tu ndo umeharibuu!!Weekend Tamu sana hii.....
1.Man U kachukua kombe
2.Simba kashinda vizuri kabisa
3.Kale kademu kaliko kuwa kananisumbua kamenikubalia wknd hii na nimekagegeda!
MR WEMBLEY
Muulize kwanza Wembley anapajua???? Au anapasikiaga tu kwetu hahahhahhaha!! Kikombe cha kuku mbona hamkuandika barua msishiriki vikombe vya kuku.hahahahaAta cha chai hamma.
Hamkos vichaka kwa nn wasishinde au wale walionyimwa jana penat azpilicueta alipoudala mpira nao wanabebwa?Man u inabebwa mpaka nahisi ni ukweli. Timu mbovuuu
Asante sana my dear am so happy kwakweli,thanks so much for your support hata tulio mbali tumefaidi.