Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Man u fans wamekuwa wana mu underrate sana Rooney, kuna kipind kweli alikuwa anazingua ila kwa aina ya wachezaj walioko man u kwa sasa, bado Rooney angeweza akapata namba kiroho safi.
Mf. Rooney anaweza fanya kosa moja likaonekana zaid ya Ibra akifanya kama hayo manne, sijui ndo damu/ nyota ama vip!
Msimu uliopita kama Barcelona wangemuuza Messi kwasababu hakuwa form, unategemea maisha yao yangekuwaje msimu huu!?Tume kimiss kile kiwango chake..
Aondoke tu hata kesho kabla hatujabeba EFL hiyo jumapili
Istoshe manchester wamemtumia sana kinyume na maumbile,kipind yuko form ameshachezeshwa had namba 6, nane ndo zaid, yan kila namba iliyokosa mtu walikuwa wanamuweka, ss hv hari imepungua na umri nao ndo hvy instead wamuweke mahali pasipo na fujo mingi, instead akiwekwa wanamuweka kama wing forwad, Rooney sio aina ya mchezaj wa kucheza wing, kwa mtazamo wangu bora acheze namba nane, hawa watoto atleast ndo wangepaswa wakimbie kimbie huko pemben faza akae kati awatupie mapande maana ana uwezo huoHili tatizo limeanzishwa na vyombo vya habari na wachambuzi wa soka kutoka Uingereza. Siku wakimuheshimu Rooney basi fans na wao watamuheshimu.
So Rooney ni Messi wetu?Msimu uliopita kama Barcelona wangemuuza Messi kwasababu hakuwa form, unategemea maisha yao yangekuwaje msimu huu!?
Unaweza ukawa sawa kabisaSo Rooney ni Messi wetu?
same treatment anaipata mchezaji anayefanya vizuri zaidi ya rooney yaani ronaldo huko madrid!!!ndio mpira ulivyo...ukiwa una deliver sana ukianza kupungua kidogo tu unahatarisha heshima yakoMan u fans wamekuwa wana mu underrate sana Rooney, kuna kipind kweli alikuwa anazingua ila kwa aina ya wachezaj walioko man u kwa sasa, bado Rooney angeweza akapata namba kiroho safi.
Mf. Rooney anaweza fanya kosa moja likaonekana zaid ya Ibra akifanya kama hayo manne, sijui ndo damu/ nyota ama vip!
Tutashinda.
Labda tabia ya ukipata chungu kipya ila wazza siku zote hapendi kuona tunafuņgwa ni mpiganaji wa ukweli na rekodi yake inajieleza nitaendelea kumshabikia na kumkumbuka pia.Man u fans wamekuwa wana mu underrate sana Rooney, kuna kipind kweli alikuwa anazingua ila kwa aina ya wachezaj walioko man u kwa sasa, bado Rooney angeweza akapata namba kiroho safi.
Mf. Rooney anaweza fanya kosa moja likaonekana zaid ya Ibra akifanya kama hayo manne, sijui ndo damu/ nyota ama vip!
Nahisi ange enda china akapige helaROONEY: I'M STAYING AT UNITED
Manchester United captain Wayne Rooney has addressed speculation about his future by releasing the following statement.
“Despite the interest which has been shown from other clubs, for which I’m grateful, I want to end recent speculation and say that I am staying at Manchester United," declared the Reds' record goalscorer.
“I hope I will play a full part in helping the team in its fight for success on four fronts.
“It’s an exciting time at the club and I want to remain a part of it.”
Rooney: I'm staying at United - Official Manchester United Website
Nahisi ange enda china akapige hela
He is a legend already ana enda ana make pesa then anarudi hata kuwa director pale.Ni vizuri astaafu akiwa Man United,ni heshima kwa timu.