Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We have won seven of our last nine FA Cup ties v Chelsea, but have lost the last two (2007 Final, R6 in 2013). History. [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Despite Chelsea's current form, we need a revenge for that 4-0 defeat. Hopefully we will win
 
Nazipenda bukta nyeus na uzi mwekundu wakivaa manchester united
 
Sidhani kama nitampenda mke wangu kama hii timu.
Hahhahahhaah nyie watu mmejua kunifurahishaaaaa!! Sijui na mimi nisemaje naipenda kuzidi mume wangu hahhahhaha loooh siri ninayo mwenyewe

Yani kuna wakati ukiiwaza Manchester United unajikuta una smile tu. Hata kama ni wa 6, tabasamu haliishi mdomoni.
Natumai ntampenda mke wangu kama nnavyopenda hii timu.
 
Man City Star Kevin De Bruyne Admits Citizens Aren't Comparable to Liverpool & Man Utd in Europe.

"People talk about teams like Man United and Liverpool, with the history they have," he said ahead of Tuesday's clash, via Goal.

"Obviously they are great teams and you cannot compare us to them because we didn't have the time that they've had already
 
Hahah na 2017 hiyo baga kila mtu anachomoa akipendacho...mpaka April itakuwa imeisha!!!
2017 hio burger ina kila dalili ya kurudi kama 2008...unaweza kuwa sehemu ya hio burger soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…