Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Tuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.
hongera kwa ushindi, hatimae tumehama namba 6, Mungu asaidie tusonge mbele zaidi. Amen
Nafikiri game itakua draw, leo nafasi ya 5 inatuhusu
now you know what to do spurs
Hakuna ambaye ratiba inampa favour kila timu inacheza mechi 38 na usiposhinda mechi zako huwezi ingia top four.Nani ambaye ratiba inampa favour ?Na Ndiyomaana Nikawa Ninasema Ratiba HaijamFavor Man U Kuingia Top 4 Coz Hapo Arsenal, Man City na Spurs Bado Watakuwa Wapo Katika Pressure Ya Kuto Kushuka Top 4, Wakati Chelsea Analinda Heshima....
Bado unaimani na Tuchel?By jumatano tutakuwa tunafikisha siku 100 tukiwa katika nafasi ya 6
Nilichogundua ni kuwa ligi ya EPL haitakiwi usubiri watu washuke, inatakiwa ujibebe mwenyewe na ndio some times man utd inapo kosea.
Japo gap lime punguzwa na chance ya kushika namba ya juu zaidi ya 6 ipo, we must carry ourselves there, i hope hatutua poteza point siku ambayo tunahitaji kupanda zaidi.
Manure ikirudishwa nafasi yake ya sita
Kuna watu niliwaambia mimi naombea Liverpool washinde ili tuwe two points behind second place.Mambo yameenda kombo
Nami nimekurekebisha bro ili utambue wapi ulikosea ili usije kujisahau tena.Thats not cool
Nili misspel tu no big deal hapo
Usipende kutumia neno MAN UNa Ndiyomaana Nikawa Ninasema Ratiba HaijamFavor Man U Kuingia Top 4 Coz Hapo Arsenal, Man City na Spurs Bado Watakuwa Wapo Katika Pressure Ya Kuto Kushuka Top 4, Wakati Chelsea Analinda Heshima....
Next matches ndio zitaonesha kana analifahamu au halifahamuunadhani Mou halifahamu hilo?
Bado aseeBado unaimani na Tuchel?
Niko vizuri kakaNami nimekurekebisha bro ili utambue wapi ulikosea ili usije kujisahau tena.
By the way unaendeleaje?
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Niko salama sifa kwake Muumba kwa kutokunipenda zaidi.Niko vizuri kaka
Sjui wewe hapo
HahahaNiko salama sifa kwake Muumba kwa kutokunipenda zaidi.
Hakika Iceman 3DHahaha
That was good.
Bas tuendelee ku mu enjoy bhana Martial ilimradi tuko hai
Jamaa ni jeuri, na asipo angalia soon patamshinda pale, Hana plan b, hadi sasa hana 1st eleven inayoeleweka, kila mechi anakuja na mifumo mipya na wakati ana wachezaji wazuri tu.Bado asee
Jamaa mambo haya mwendei vizuri lakin kwa sasa.
HahahaJamaa ni jeuri, na asipo angalia soon patamshinda pale, Hana plan b, hadi sasa hana 1st eleven inayoeleweka, kila mechi anakuja na mifumo mipya na wakati ana wachezaji wazuri tu.