Manchester United (Red Devils) | Special Thread

By jumatano tutakuwa tunafikisha siku 100 tukiwa katika nafasi ya 6

Nilichogundua ni kuwa ligi ya EPL haitakiwi usubiri watu washuke, inatakiwa ujibebe mwenyewe na ndio some times man utd inapo kosea.
Japo gap lime punguzwa na chance ya kushika namba ya juu zaidi ya 6 ipo, we must carry ourselves there, i hope hatutua poteza point siku ambayo tunahitaji kupanda zaidi.
 
Ahhhh!!! Mmeniangusha bana mimi nimewapa wito mminye mmesepa hhaahhaha!! Anyway next tutachomoka tu!! Hapa siyo petu mimi nakataa kabisa please Man wenzangu be positive huyo anayesema tumerogewa hapa nita..........
Nafasi yetu ipo juu kule. Naamini tutapanda soon tu
 
Msimamo baada ya mechi 14

Msimamo baada ya mechi 25

Pamoja na kwamba bado tupo nafasi ile ile lakini perfomance ya timu imeongezeka sana na tupo nafasi nzuri sana ,linganisha idadi ya magoli tuliyofungwa,tuliyofungwa na goal difference baada ya mechi 14 na baada ya mechi 25
 
Attachments

  • EPL14 GAMES.png
    13.2 KB · Views: 31
Uko sawa
Top four is reachable but we have to reach it our selves na hiyo ndio task iliyo baki
Too many draws zilikuwa setback
 
Uko sawa
Top four is reachable but we have to reach it our selevs na hiyo ndio task iliyo baki
Too many draws zilikuwa setback
Tuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.
 
Tuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.
Lets wait and see
Hakuna namna
 
Tuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.
Can you????
 
unadhani Mou halifahamu hilo?
 
Tuna mechi 4 against wapinzani wetu Man City,Arsenal ,Spurs na Chelsea kwa sasa hatupaswi kupoteza hizi mechi na hizi game karibia zote zinachezwa mwezi May so tunapaswa kutopoteza mechi.
Duh tukishinda game hata mbili kwenye hizo hapo na tuka draw mbili tutakuwa tumejitahidi saana ingawa naombea tushinde zotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…