Nyakati zina changamoto zake mababu zetu hawakujua tarehe ila matukio kama mtoto alizaliwa wakati wa vita au njaa kama sio nzige. Sasa sijui miaka ijayo nasi tutawaambia wajukuu zetu kuwa baba zao walizaliwa wakati giggs anakikusanya kijiji cha mabeki wa arsenal na kufunga goli au hazard alipowakusanya mabeki wa arsenal na kufunga goli? wakati umebadilika nawaza tu jamani.
Swadactahatimae furaha imejirudia, wiki imeisha salama kwa furaha ya ushindi.
Unaumwa wwHakuna timu naichukia kwenye hii dunia kama man u ..huwa siku zote naiombea mabayaa....
Mngeheshimu mawazo yangu ndugu zanguni na si uchochezi huu ni fikra za kuonyesha jinsi wakati unavyo badilika.
acha tu, Mungu katuona.Hongereni wandugu dah afadhali mmeshinda leo maana Presure ilikuwa kubwa mno kwenu...sasa mgange yajayo
Jaribu kuwa na aibu kidogo mkuu
Game nyingine hii tunaenda kupoteza kwa uzembe wa Mourinho!
Mourinho Umeishindwa man u ondoka zako tuachie timu yetu
Wachezaji wengi makinda kutoka Amerika ya Kusini siku hizi mpira wao huisha wakifika miaka 25, yuko wapi Oscar, Jo, Paulinho, na wengineo wengi?Huyu Gabriel Jesus wa man city pia atakuja kuwa tishio sana, united walizingua dk za mwisho wala wasingekuwa na haja na kina Griezman, dogo linajua sana
Wachezaji wengi makinda kutoka Amerika ya Kusini siku hizi mpira wao huisha wakifika miaka 25, yuko wapi Oscar, Jo, Paulinho, na wengineo wengi?
Mapovu ya KLIN SOFT vepeee
Jaribu kuwa na aibu kidogo mkuu