Mkuu ndoo tunaitaka ila kwasasa tunapita kwenye kipindi cha mpito, target yetu this season only top4 bcoz hakuna namna, about ubingwa Chelsea njia nyeupe even Mou alikiri hili i think dec last year, all in all mara mia Chelsea abebe ndoo kuliko Looserfool, Asernal8 and ManShitty.Sasa mmetosheka? Mmeshiba ndoo? Hamtaki tena ndoo?
Kwa nini Mou anataka hii kitu?
Jose Mourinho: Man Utd players 'must realise they need to win'
Je Mou amenusa harufu ya kibarua kuota magugu?
Link Jose Mourinho: Man Utd players 'must realise they need to win'
Tottenham akitwaa ubingwa utakasirika?Mkuu ndoo tunaitaka ila kwasasa tunapita kwenye kipindi cha mpito, target yetu this season only top4 bcoz hakuna namna, about ubingwa Chelsea njia nyeupe even Mou alikiri hili i think dec last year, all in all mara mia Chelsea abebe ndoo kuliko Looserfool, Asernal8 and ManShitty.
Ndoo ya Chelsea mkuu, wapo very organizedTottenham akitwaa ubingwa utakasirika?
Yaani kwa upande wangu bora hata man city, Chelsea siwakubali kabisaMkuu ndoo tunaitaka ila kwasasa tunapita kwenye kipindi cha mpito, target yetu this season only top4 bcoz hakuna namna, about ubingwa Chelsea njia nyeupe even Mou alikiri hili i think dec last year, all in all mara mia Chelsea abebe ndoo kuliko Looserfool, Asernal8 and ManShitty.
Noise neighbours? Wataweka mabango mji mzima hao wakishinda...Yaani kwa upande wangu bora hata man city, Chelsea siwakubali kabisa
Bora hata spursNoise neighbours? Wataweka mabango mji mzima hao wakishinda...
Yes naye lazima alaumiwe Pogba ameshakosa magoli 4 ya wazi na ndio mchezaji anayeongoza kugongesha mwamba.Kazi ya kufunga magoli sio ya Ibra peke yake.Mata,Pogba,Rashford,Martial,Lingard wamepoteza nafasi nyingi sana angalia Chelsea Alonso,Hazard,Cahill,Pedro,Willian wanamsaidia sana Costa kufungaMost through balls completed in Europe's top 5 leagues this season:
Paul Pogba (12)
Kevin De Bruyne (11)
Ángel Di María (10)
Lionel Messi (10)
Shame our forwards haven't been able to finish...
kwa hizi takwimu kwa nini sisi wapenzi wa mpira tunamlaumu sana pogba??
Mtu anaembeza Pogba hajui mpira. Makosa kwa mchezaji ni kawaida hasa akiwa na umri kama wa Pogba ila ukiweka chuki pembeni utaona ni jinsi gani Pogba ni mchezaji mzuri.Most through balls completed in Europe's top 5 leagues this season:
Paul Pogba (12)
Kevin De Bruyne (11)
Ángel Di María (10)
Lionel Messi (10)
Shame our forwards haven't been able to finish...
kwa hizi takwimu kwa nini sisi wapenzi wa mpira tunamlaumu sana pogba??
Pogba kafunga magoli mangapi?Yes naye lazima alaumiwe Pogba ameshakosa magoli 4 ya wazi na ndio mchezaji anayeongoza kugongesha mwamba.Kazi ya kufunga magoli sio ya Ibra peke yake.Mata,Pogba,Rashford,Martial,Lingard wamepoteza nafasi nyingi sana angalia Chelsea Alonso,Hazard,Cahill,Pedro,Willian wanamsaidia sana Costa kufunga
Why United stays 6th?