huwa nawanga hadi leo mtu kanitolea uvivu eti niondoe kiwingu....siku za mechi ngumu hauko hapa leo umeona hawa mwaweza funga uko hapa.....hii timu ina bahati sana ilipaswa kuwa imefungwa tatu hadi sasa.....go go Schalke!:frusty:
Tangu 2002 tunasikia "Manchester United in decline"... Kwa Arsenal ni kawaida yenu chenga nyingi magoli mengi lakini mnaambulia point moja. sie goli moja point tatu chenga chache.
Hii ngoma kadri inavyoendelea kuwa 0-0 inawapa confidence, hawakawii kupaki basi na kutuvizia kwenye counter attack, ila tuache utani Manuel Neuer mzuri dah!! yani kilicho kati yetu na Wembley ni Neuer of course na performance yetu.
Karibu first lady wetu wa ukwel...nakwambia kuna shosti anaitwa Michelle kaomba lift na honi anataka kupiga...apa yupo kubadili CD kwa gar....wa wap hyu?, njoo umsute mama...
Tangu 2002 tunasikia "Manchester United in decline"... Kwa Arsenal ni kawaida yenu chenga nyingi magoli mengi lakini mnaambulia point moja. sie goli moja point tatu chenga chache.