Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Michelle...
Huna nguo za husband za kunyoosha?, zako je?, mtt umempikia uji?, pampas umembadil?, nguo zake safi?, umetinda nyusi?, seti nywele?, andaa nguo za SHEM za kesho?, watt je?
uji anao?,amekula umedeki..?..kalale bana upunguze kiwingi apa....
 
Michelle
Good to see ya as well..ila sinaga mazoea na ww...nkome mwana wa mwenzio...LMAO!
 
mkuu AW upo? nampa matumaini Eqlypz akae hapa,manake Manda/Papizo/Mfarisayo/BJ sijawaona, tukibaki hili jukwaa wenyewe tutaboreka....l.o.l:smile-big:
Nipo Michelle tunawanga humu manake walituwangia mechi yetu na barca hawa.wapo hapa upepo ukibadirika wanaweza kuwa guests lol.
 
Wangeni sana ila leo awa O4 tunawapiga bao kama jina lao vile....yaani Nne Bila......

Go go go my boooooooys!

Wapi Mbu?
Pamoja Mkuu huwa nachungulia humu kama guest ila nina uhakika chama letu leo lazima lishinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…