The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 403
Baba hata akirundi saa kumi ucku lazima ale ....hawa watoto watatulia tu Hully city 1:0(1:2)
Nimepita kukusalimia kama nilivyo ahidi hull hawajaniangusha kabisa ... tuonane half ya piliUkisikia uchawi ndo huu embu toka kwanza khaaa!! Mmerundikana humu kama nini!!
Mrs. Kwa kweli sijui kwa nini sina hofu sana kuwa mtapita. Ila walau nao washinde mechi hii...Ukisikia uchawi ndo huu embu toka kwanza khaaa!! Mmerundikana humu kama nini!!
Baba wa zamani hao...Baba hata akirundi saa kumi ucku lazima ale ....hawa watoto watatulia tu Hully city 1:0(1:2)
Looooh!!! Kwendraaa!! Dua la Eddy halimpati everlenk.Nimepita kukusalimia kama nilivyo ahidi hull hawajaniangusha kabisa ... tuonane half ya pili

Wakina nani washinde?Mrs. Kwa kweli sijui kwa nini sina hofu sana kuwa mtapita. Ila walau nao washinde mechi hii...

Hivi lile 'cursed cup' ngao ya hisani huwa halihesabiwi?
Naona Pogba kawafufua...Pogbaaaa labile paul
Mi naangalia kupitia totalsportek.comNipeni link ya kuangalia hii gem
Ndo kazi yake.. analipwa kwa ajili hiyoNaona Pogba kawafufua...
Poa mkuuMi naangalia kupitia totalsportek.com
Iko poa sana leo