Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Mngekutana na Liver final wangewafunga wacha kelele mingi.
Mara ya mwisho Liver kutufunga ni lini? Liver wakicheza wenyewe kwa wenyewe hawawezi kuchukua kombe
Mngekutana na Liver final wangewafunga wacha kelele mingi.
Timu ni zile zile.Kunatofauti ya EPL na EFL usikariri ....angekufa vibaya mno
Ahahahaha very funny.Mara ya mwisho Liver kutufunga ni lini? Liver wakicheza wenyewe kwa wenyewe hawawezi kuchukua kombe
Ahahahaha very funny.
Anyway tusiongelee nadharia maana tutaishia kubishana over something that will never materialise.
Game ya kesho mmejipangaje? Has Mourinho spoken? Ama hizi za EFL hazina pre match press conference?
Duh unajua huku Honolulu, Hawaii bado tuko jumatano ndo kwaaanza tunaandaa dinner. Tusameheane bure sometimes najisahau.Game ni leo na ushindi uko wazi. Tunaenda kukamilisha ratiba tu.
Duh unajua huku Honolulu, Hawaii bado tuko jumatano ndo kwaaanza tunaandaa dinner. Tusameheane bure sometimes najisahau.
Hehehehe mnaenda kukamilisha ratiba kama Zimbabwe juzi ama? Heheh
Kinachofata ni kuliita kombe la mbuzi pale Wembley tumeshawazoe na izo chuki zenu zimeshatukomaza [HASHTAG]#Manchester[/HASHTAG] is RedTimu ni zile zile.
Na nyie nawafahamu vyema....
Good thing is kesho nitakuwa live kuangalia Hull akiwafundisha mpira. Pamoja na Mason kuumia lakini hamna uwezo wa kumfunga keshi hata refa akiwabeba na offside goals zenu.
Unamvunjia heshima LVG kumlinganisha na Klopp.Licha ya kutokufanya vizuri akiwa United still Klopp si size ya LVGLvG wa kijeruman kwenye kichapo cha jana eti anaulaumu upepo, hivi akijaenda Britannia stadium sijui ataongea nini?
Aisee......Timu ni zile zile.
Na nyie nawafahamu vyema....
Good thing is kesho nitakuwa live kuangalia Hull akiwafundisha mpira. Pamoja na Mason kuumia lakini hamna uwezo wa kumfunga keshi hata refa akiwabeba na offside goals zenu.
Mkuu Lipuli imefikaje huku?Lipuli fc wanamkazia Man U,wanalegezwa na watoto wadogo sasa subiri tuwaoneshe jinsi tutakavowafanya pald wembley,sherehe inaanza leo.
Acha kumfananisha Klopp na jambo la kijingaUnamvunjia heshima LVG kumlinganisha na Klopp.Licha ya kutokufanya vizuri akiwa United still Klopp si size ya LVG
1.LVG alishachukua ubingwa wa Champions League Klopp hajawahi
2.Klopp aliishusha daraja Mainz,LVG hajawahi kushusha daraja timu
3.LVG amechukua ubingwa wa Holland,Spain,Germany na amefundisha timu kubwa za ulaya (Ajax,Barca,Bayern,Man United)

Hao loserfool fc jina lao la ubatizo huitwa lipuli fcMkuu Lipuli imefikaje huku?
Hivi lile 'cursed cup' ngao ya hisani huwa halihesabiwi?Hamna namna na wapigwe tuu kama alivyosema Mh Pinda
Leo tunaenda kumalizia tulipoishia na Hull City baada ya hapo tarehe 26/2 ndani ya Wembley Wayne Rooney atanyanyua kombe letu la kwanza kwa msimu huu
Tatizo la Monkey United ndiyo hilo.Hao loserfool fc jina lao la ubatizo huitwa lipuli fc
Case closed
LVG bado hajastaafu mkishamfukuza Mtaalamu wa "Gegenpressing" nendeni mkamchukue mzee wa "Philosophy" hawezi toka kapaAcha kumfananisha Klopp na jambo la kijinga![]()
![]()
![]()
Kilichokuleta huku ndicho kitakuondoaTatizo la Monkey United ndiyo hilo.
Acha kulitumia vibaya jina la Lipuli fc
Kocha na madaftari kama anasoma PCM hatumuhitajiLVG bado hajastaafu mkishamfukuza Mtaalamu wa "Gegenpressing" nendeni mkamchukue mzee wa "Philosophy" hawezi toka kapa