Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ndugu yangu tuwe karibu siku hiyo usikimbie kama wakati wa game ya Llorente.
 
kwa kweli.
 
Sio stoke mkuu ni kocha wetu tu huwez ukamfanya fela kuwa carrick namuhurumia sana anapolazimisha nyeus kuwa nyekund hana uwezo hata wa kumuweka bastian nje anapocheza fela timu inakuwa nzito sana
Nadhani aliona fella anafaa kwa mpira ya kibabe kama stoke walivyo ni hesabu zimekataa lakini nimemuona mou akifanya sub nyingi chanya katika mechi kama saba zilizopita nadhani na hili ameliona
 
Haya wale wanafiki mliokuwa mnalialia humu man utd kuongezewa 5minutes mje muendelee kubwabwaja, mmeongezewa 7mins na kupewa penati wakati huyo mchezaji yuko offside!
 
Haya wale wanafiki mliokuwa mnalialia humu man utd kuongezewa 5minutes mje muendelee kubwabwaja, mmeongezewa 7mins na kupewa penati wakati huyo mchezaji yuko offside!

Hawawezi kuyaona hayo wanaangalia ni mkubwa anafanya sio mdogo kaka sasa kimya wamejificha
 
I wonder what will Arsenal fans say when they got a penalty from offside position. When United got goal from offside, they like pointing it. Now, what will you say? LOL




Toka mbele hiyo goli la mik ilikuwa shida
 
Jamaa wanachomfanyia bunley Mungu anawaona mara ya kwanza wametumbukiza kwa mikono goli mara yeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…