Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya goli la leo, Wayne Rooney ndo amekua mchezaji aliefunga magoli mengi zaidi katika viwanja wa ugenini.. kuliko mchezaji yoyote katika historia ya premier league.. ana magoli 88
 
Inasikitisha sana
kuona tumepoteza points game ambazo tulistahili kushinda dhidi ya timu ndogo kama Stoke city, Arsenal, Liverpool, Burnley.
 


Hivi hili pimbi huwa lina ajenda gan likichezesha mechi za MAN U,

Linakataa clear penalt kabisaa, na sio mara ya kwanza kufanya upuuzi huu,

Huwa nikimuona kwenye game zetu basi nataman hata nisiangalie
acha kulia lia mtoto wa kiume, haya mmenyimwa penalt.......... mngeshinda basi goli la kawaida.
 
At last Wayne Rooney surpasses Sir Bobby Charlton's goal scoring record. Maybe Rooney should be knighted as well. [HASHTAG]#SirWayneRooney[/HASHTAG].
 
Tuna rekodi pia ya kutopoteza mechi ngapi sijui
duh hizi rekodi nyingine ni kama kua na mtoto wa kiume alafu SHOGA.
hii kauli sijui kama umeitoa kama mzazi ama kama teja tu ambae hategemei kuwa na familia hapo mbeleni, hakuna mzazi ambae anapenda kumwona mwanae wa kiume yupo hvyo.

please ushabiki usikufanye mpaka ukakutoa kuwa mzazi ambae anapenda kuona mema kwa watoto wake.

chunga kauli.
 
Poleni lakini hongereni pia!
 
Inasikitisha sana
kuona tumepoteza points game ambazo tulistahili kushinda dhidi ya timu ndogo kama Stoke city, Arsenal, Liverpool, Burnley.
Lazima mtoe pongezi kwa 4th official aliyeongeza dakika 5 za ziada. Zilitakiwa kuwa dakika 2 au 2.5 na mngelilia kama watoto wa chekechea.
 
Mie pia naona kuwa yes tumekuwa undefeated lakin tumedrop points 4, sasa cha kuombea ni labda liva wafungwe na chelsea ili wawe wametupita point moja.


Tatizo Msimu Huu Aliyewaroga Katumia Nyota Ya Jogoo! Na Ndiyomana Liver Akiharibu na Nyinyi Munaharibu..... Mechi ijayo Munashinda Coz Liver Atamfunga Chelsea.....

Liver Hufungwa na Vibonde sio Wale Wanaojiita Big Teams Kama Chelsea! Prove Me Wrong....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…