Naona uneisha kazwa kamojaAchana nao hao Looserpool
Naona kama umekazwa kamoja tayri. But still ni kipindi cha kwanzaKuna watu walikuja kukamia mechi OT saa hizi wanagalagazwa kwao....
Aiseeeee. Nitarudi baadae kukomenti nipo busy namtazama shaqir na crouchNa huu Ubingwa Wa Man u kwa tofauti ya point 1
Poleni tu sasa hakuna namnaLeo Mashabiki Wa Arsenal Wanazunguka Majukwaa Yote......! Sasahivi Naona Wameshahamia Huku Baada Ya Kukinukisha Kule Home.....
Pole mkuu, ndio kocha wako na wachezaji alionao.Man Utd hii ya mourinho buree kabisa
Naona kama umekazwa kamoja tayri. But still ni kipindi cha kwanza
cjawah mpenda MourinhoPole mkuu, ndio kocha wako na wachezaji alionao.