Tulia wewe utarudi hapa kufuta coment yakoHivi kunamda Jose huwa jataki ushndi .....sasa fellaini wa nn
Tunashinda kesho city anakufa kwa Toto la HamuUzuri jirani Loserfools kapigwa uwani kwake, sasa ni ama zetu au ama zao stoke cty lakn point 3 lazma tupate.
Majogoo tayari yamenyolewa....tusubiri hao wa saa 2.30ninawaombea mancity na spurs washikane mashati asiwepo mbabe na liverpool naye sare na swansea
Liva hapati sare
Hii mechi inahitaji mtu mrefu kama smalling kwaajili ya kukabana na croachMou anamuachaje rojo nje ?? Smalling hana consistency nzuri sana
Rojo ni mgonjwa ndio maana hayupo na Stoke huwa wanacheza sana long ball Smalling ni mrefu kuliko RojoMou anamuachaje rojo nje ?? Smalling hana consistency nzuri sana
Sawa mkuu nmekupataRojo ni mgonjwa ndio maana hayupo na Stoke huwa wanacheza sana long ball Smalling ni mrefu kuliko Rojo