Screenshot_2017-01-20-08-16-37.jpeg
 
Una kaupenzi na hii timu ila unajilazimisha tu kwenda huko kwingine....nyumbani ni nyumbani tu
Mkuu nitakuwa wa mwisho kuipenda Man U.
Hakuna club ninayoichukia kama hii club yenu.
Club nyingine nisizozipenda ni Barcelona na Simba ila hakuna ya kuifikia Man U kwa jinsi ninavyoichukia.
 
Bora hivi tulivyokuwa wamoja nyumbani...kumbuka nyumbani ndio zaidi kwingine tunaiga/kujipendekeza tu.
Huwa nawashangaa sana wanaotuponda tunaoshabikia mpira wa nyumbani.

BTW hivi jana mikia matokeo yao vipi?Sina khabari kabisa
Ilikuwa suluhu bado pointi mbili tunawafuata tartiibu
 
Mkuu nitakuwa wa mwisho kuipenda Man U.
Hakuna club ninayoichukia kama hii club yenu.
Club nyingine nisizozipenda ni Barcelona na Simba ila hakuna ya kuifikia Man U kwa jinsi ninavyoichukia.
Kunywa sumu upone ugonjwa wako
 
82466b44f7013a4599390fefb3460eb9.jpg


Hebu tusaidiane kujibu hili swali aisee...


Just Joking.....
Manchester United's "Next Ronaldo':
Nani (Failed)
Valencia (Failed)
Young (Failed)
Anderson (Failed)
Bebe (Failed)
Morrison (Failed)
Obertan (Failed)
Macheda (Failed)
Januzaj (Failed)
Zaha (Failed)
Depay (Failed)
 
Back
Top Bottom