Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Punguza mihemko kijana...wapi nimesema Liver awafunge..kwa game ya kesho walaaaa sitaki hilo litimie..so katika kukuridhisha (na kujipa amani ya moyo) manfongo atamfunga Liverpool kesho...halafu atabaki namba sita...khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wewe ndio upunguze mihemko,kwanza mechi ni leo.
Pili,kuwa na msimamo sio mtafungwa mara mdroo mara nataka mumfunge Liver. Kuwa na msimamo usione aibu.