radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Ayo maneno itakuwa yane editiwa. Sio alivosema ivoo
Umewekewa had source huamini chelsea ni sawa timu ya kina mahrez wale jamaa waliotwaa ubingwa msimu ulioisha saiv wanapambana kutoshuka daraja epl kuna timu 3 zenye misingi yake arsenal,liverpool na manchester united wengine wanatoa changamoto hata pep kishawaambia mashaniki wa city wanasafali ndefu kufikia mafanikio ya united