Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Mkubwa fella ndani. Bahati yenu ni reading otherwise lingewacost hilo garasa
Mkubwa fella ndani. Bahati yenu ni reading otherwise lingewacost hilo garasa
Kuumia kwa ROJO kunanikosesha raha ya ushindi.
Anakosa sana magoal ya waziHope Leo rashford afunge mana dah
Kudadek kumbe man u ikifungwa au ikiwa vibaya ndo hili jukwaa linachangamka!
![]()
Kumbe hata wewe umeliona hilo.. Tukishinda kunapoa kweli!Kudadek kumbe man u ikifungwa au ikiwa vibaya ndo hili jukwaa linachangamka!
![]()


