Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Update baada ya mechi 20

Chelsea-Gap limebaki pointi 10
Liverpool-Gap limebaki pointi 5
Tottenham-Gap limebaki pointi 3
Man City-Gap limebaki pointi 3
Arsenal-Gap limebaki pointi 2

Timu iliyopo nafasi ya 10 tulikuwa tumeizidi pointi 3 now tumeizidi pointi 15
 
Ila epl is not fair apigwe Chelsea ashuke arsenal hahah
 

Maajabu ya nafasi ya sita. Wanasema hatujongei hata tushinde magoli mia, ila hawajui kuwa wao ndio wanajongea kushuka chini lakini, wakija kushtuka wameshatupita badala ya sisi kuwapita wao.
 
Happy new year wapendwa wangu wote!!!,nawapenda sanaaaaa, nimewamiss ile mbaya
yaani hongereni sana kwa matokeo mazuri yaani nilikuwa nainjoi sana, mdogo mdogo tutafikaaaaa....nilikuwa likizo, nilikuwa nawatamani sana niburudike nanyi ila mtandao ndo ulinitesa..... all the best Man U.....GGMU
 

Na wewe pia mkuu,ndio umetoka Moshi au wapi uko?
 
h
happy new year to you too, vipi ulienda kuhesabiwa nini mana si kwa kupotea uko. ila karibu tena jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…