Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Uweke akiba ya maneno.natamani man washinde ila asilimia kubwa ni sare au apakatwe maurinyo
Uweke akiba ya maneno.natamani man washinde ila asilimia kubwa ni sare au apakatwe maurinyo
Kwa wanamichezo hulitambua hilo khasa wale tulianza kujua mpira waqt kipa akirudishiwa anadaka hatuna tabu kuhusu upinzani na utani .Kabisa Mkuu ahsante sana kwa pongezi zako za jana Mkuu. Michezo si uadui wala vita, michezo hujenga urafiki Mkuu.
hahaha siku hizi hadi raha, mwe si nilipitiwa na usingizi nimeshtuka now nikaona nije niperuzi.Pika chakula cha familia tu siku hizi hatuna wageni humu ilaaa unaweza kuongeza kipimo kidogo pana waungwana huja humu tunajadili kiuanamichezo so kidogo ongeza .
Sijawahi kumkubali yule dogo, sijui walitumia vigezo gani kumuuza chicharito na kumbakisha lingadLingard anatembea tu
Tulichelewa sana kupata hayo matokeoManchester United's last 7 games across all competitions:
WWWWWWW
Goals: 14
Conceded: 3
Jose's side keep on winning.
Sijawahi kumkubali yule dogo, sijui walitumia vigezo gani kumuuza chicharito na kumbakisha lingad
Lile goal alilokosa lilihitaji nguvu?Dogo yuko vizuri tu. Tatizo mechi ilihitaji nguvu zaidi ya akili.
Record hii mara ya mwisho ni msimu wa mwisho wa Sir Alex.11 games unbeaten, 6 wins in a row!
Vipi Valencia nae alivyokosa. Valencia alivyokosa rebound ndio ilimjia Lindgard ghafla ndio maana ali react tu kuusukuma mpira golini.Lile goal alilokosa lilihitaji nguvu?
Vipi Valencia nae alivyokosa. Valencia alivyokosa rebound ndio ilimjia Lindgard ghafla ndio maana ali react tu kuusukuma mpira golini.
Huyu dogo hata mimi si mshabiki wake ila kuna mechi akichezeshwa naelewa. Huyu hana kipaji kuliko Martial ila yuko more energetic.
Mechi kama hii haihitaji sana kipaji,inahitaji energy ukifuatilia stats za man utd huyu dogo ndio huwa anaongoza kwa sprints per game anasaidia energy level ya timu kwa jumla.
bTulichelewa sana kupata hayo matokeo
bora kuchelewa kuyapata ......ili kufurahia ushindi, ni kama kulala maskini na kuamka tajiri kuliko kulala tajiri kuamka maskini unaweza kufa kwa presha.Tulichelewa sana kupata hayo matokeo
Sijawai kuwaelewa Lingard na Fellain na sielewi kwann Mou anawang'ang'ania every week, leo baada ya Lingard kutoka timu ikaanza kutengeneza nafasi za mabaoVipi Valencia nae alivyokosa. Valencia alivyokosa rebound ndio ilimjia Lindgard ghafla ndio maana ali react tu kuusukuma mpira golini.
Huyu dogo hata mimi si mshabiki wake ila kuna mechi akichezeshwa naelewa. Huyu hana kipaji kuliko Martial ila yuko more energetic.
Mechi kama hii haihitaji sana kipaji,inahitaji energy ukifuatilia stats za man utd huyu dogo ndio huwa anaongoza kwa sprints per game anasaidia energy level ya timu kwa jumla.
Majogoo wa LiverpoolNaona majogoo Wa landan wamesimamishwa na moyes