Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya tutaona na yule shevchenko ll a.k.a Torres ndio kabisaaa atatafutia kocha wa kuweza kumtia .si unamjua bosi wenu? Lol
Mkuu kuna Edin Dzeko naona £30-35 mil naye hajafunga mpaka leo lol...! Aliletwa kuwasaidia kwenye Europa
 
Mkuu kuna Edin Dzeko naona £30-35 mil naye hajafunga mpaka leo lol...! Aliletwa kuwasaidia kwenye Europa

Yule kocha mwendawazimu nae, yeye anajua sftyle yake haiendani na yule kwanini alimchukua? Mancini kutwa anawaza kuja midfielder wa kukaba tu lol
 
Hahaha, ebanae ngoja niangalie Undercover Princes hapa nicheke Hasira ziishe.. Kesho ata sijui niangalie mechi gani maana el clasico pt 2 of 4 iko.

Duh,nilimpenda yule mkaka wa princess wa Uganda....i just wish i was a princess!:angry:
 
Haya tutaona na yule shevchenko ll a.k.a Torres ndio kabisaaa atatafutia kocha wa kuweza kumtia .si unamjua bosi wenu? Lol

Mkuu kuna Edin Dzeko naona £30-35 mil naye hajafunga mpaka leo lol...! Aliletwa kuwasaidia kwenye Europa

Hahahahaha!! Striker yoyote asipofunga anakuwa na maisha magumu sana, muulize Rooney. Dawa ni kumpanga tu, lakini kwa Chelsea sasa hivi sio muda wa kufanya majaribio, hivyo nategemea Drogba kumalizia msimu kama first choice.
 
Issue ya Torres inanikumbusha Berbatov alivyokuja Man Utd especially baada ya kufanya vizuri na Spuds, watu kila siku walikuwa wanataja bei. Rooney aliresort kwenye kupiga penalty matokeo yake akaishia kupaisha (vs Arsenal).
 
Refa aliongeza kati ya dakika 8 - 11 still hatukufunga,lakini afadhali hatukuwa 4-0 by halftime na kuja kuishia 4-4 at full time. Still inauma maana tumepoteza point mbili.
 
Hahahahaha!! Striker yoyote asipofunga anakuwa na maisha magumu sana, muulize Rooney. Dawa ni kumpanga tu, lakini kwa Chelsea sasa hivi sio muda wa kufanya majaribio, hivyo nategemea Drogba kumalizia msimu kama first choice.

Torres sasa hivi kachanganyikiwa yule, sema endeleeni kumpanga hili awapoteze kabisa lol.
 
Naona Bale yuko gym anajifua na bondia kwa ajili ya mechi ya kesho lol!! Kweli kakamia...dawa ya Bale ni Rafael alimweka mfukoni.
 
haya matokeo yanashangaza!

Kwa wanafiki wa bahasha khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kadaini mpunga wenu khe khe kheeeee

Disgraceful ad disgusting perfomance to be honest.

We have given arsenal and chelsea a lifeline to the title.

khe khe kheeeeeeeeeeeee na sisi tulicheza na New Nastle khe khe matokeo labda nikukumbushe 4 - 4 attacking football waliochukua point pale katika big five ni mancs pekee does that ring a bell? waliowakung'uta J2 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mmebaki chacha kulalamikia diving penalty khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
Walikuwa slow sana leo ila sio mbaya kwa point moja....

Wacha majungu wewe lini mmecheza mchezo mzuri kama sio kubebwabebwa tu khe khe kheeeeeeee
Kitu 0-0 mwanangu, sasa hapa ngoja nim-tweet fabregas kumpa matokeo manake hata sidhani wakijaga uwanjani wanajua nini kimewaleta lol.

Nguvu zote kesho tuone reaction ya wachezaji wetu . Noma sana mwaka huu kutoka bila bila kwa style hii.

Mkuu check tweets za first eleven hapa Player Tweets | News | Arsenal.com

Yeah mpira ulikuwa sio mzuri leo sijui kuchoka au ni vipi....

Na bado mtakoma ubishi mwaka huu!

Hahah acha hizo mkuu najuwa hapo ulipo umefurahi sana leo....

Hapana tupo kwenye msiba khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

giggs missed a sitter, rooney missed a sitter...when that happens unajua sio siku yenu! Anyway tusubirie everton.

Hapana bana kafunga goli safi sana khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

Kinachofurahisha ni jinsi Arsenal watakavyowasikitisha hiyo kesho muishie kumshambulia AW!!..mimi simo!

Mechi ya leo imeniboaa vibaya..khaa!!

Pole sana BJ usijali Theo Walcott kesho atakufurahisha.

Mkuu manda yupo? Au bado yuko kwenye foleni ya kuelekea st james park? Lol

Hawezi onekana leo mambo junguluka what about belos world? Baada ya vituko vya wembley timu zote zishafahamu ukiwakonyeza tu hawa hawana kitu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…