Man in black
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 361
- 378
Fellaini kwa kweli sina imani nae kabisaa
Hata mimi,naona ni mwendelezo wa anti-morinhoSijaona kosa la goli la Ibra.
Tutashinda hii game ila si sahihi kumuanzisha fellain yani basi tu
Mbona tupo vizuri tu usiwe na khofu game tunashinda hiiFellain atafanya nisherekee mwka mpya kwa majonzi
shiiiiiiiiiiit
Tuombe Mungu tushinde.Hata mimi,naona ni mwendelezo wa anti-morinho