Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,584
na akicheza fellain hatushindi gameCarrick leo hayumo kikosini, hivyo Basti anaweza akapewa nafasi.
na akicheza fellain hatushindi gameCarrick leo hayumo kikosini, hivyo Basti anaweza akapewa nafasi.
Hizo 13 zilipatikana kwa ajiri ya uwepo wa yule mzee wa kiscotland, sasa hivi si hayupo? subiri uone drought kama ya liverpool huu tunaenda mwaka wa nne.Dah 13 anaefuata ana 4? Acha utd iendelee kuchukiwa na wapinzani
Itakua hajaelewa maana ya long pasesWe endelea kufulahia long passes
![]()

Mwaka wa nne unapata la kuongea? Wakati kuna watu wanakaribia 30, na wengine wanenda kwenye 20 huko.Hizo 13 zilipatikana kwa ajiri ya uwepo wa yule mzee wa kiscotland, sasa hivi si hayupo? subiri uone drought kama ya liverpool huu tunaenda mwaka wa nne.
Amemiss tu kuona Man Utd kuchukua kombe.Hizo 13 zilipatikana kwa ajiri ya uwepo wa yule mzee wa kiscotland, sasa hivi si hayupo? subiri uone drought kama ya liverpool huu tunaenda mwaka wa nne.
Historia yetu ndio inayotufanya tutembee vifua mbeleMwaka wa nne unapata la kuongea? Wakati kuna watu wanakaribia 30, na wengine wanenda kwenye 20 huko.
Naona kamuweka mkubwa fella nafasi ya carrickKikosi kinaweza kuwa hivi.
De Gea
Valencia
Jones
Rojo
Blind
Herrera
Pogba
Mata
Mkhy
Martial
Ibra
Ameanza Fellana akicheza fellain hatushindi game
duh! ila tutashinda hii gameFella ndani.![]()