Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ilikua tarehe 5 sawa na Tony Martial.
Ohhhh!! Jamani bado katoto ndo kwanza siku 10,happy birthday to you,kwaajili yangu tukate keki leo.
576c58c0e352edc60a64f046e0a282b7.jpg
cdef1f6e15596255681ad05214807748.jpg
 
Kwa mashabiki wote wa soka tumekutana hapa JF tukibadilishana habari mbalimbali tunapongezana na kutaniana kuhusu timu tunazoshabikia ,now mmoja ya waasisi wa kijiwe chetu ambacho tunakutana hapa anashikiliwa na polisi.Tujitokeze kupaza sauti zetu kulaani huu unyanyasaji anaofanyiwa tusikae kimya kwenye hili tuendelee kupaza sauti kwenye mitandao yote ya kijamii(Facebook,Twitter,Instagram nk ) kulaani unyanyasaji huu.Tutumie hashtag [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Tupo pamoja nishatupia nyingi tu.
 
Tupo pamoja nishatupia nyingi tu.
Kuja hapa malkia, kwani bado una stress? Nyakati za ushindi ni sasa viva Man U, nyumba ya pili namsikia pepe guardiola amekili yeye na club yake Man City wapo kwenye kipindi kigumu,
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] wewe mchoyoooo safiiiii,basi mimi ntakwambia uniandalie special event[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,lakini bado katotooo haya chukua zawadi hii happy birthday to u hata kama nimechelewa.
05f9405c02b7681828695dfb891b47e7.jpg
Polee we mama but here he is n hongereni kwa ushindi
 
Back
Top Bottom