everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Usiumieeeeeee! nipo kwaajili yako weka tarehe tu hapa.Nimeumia sema kings too
Usiumieeeeeee! nipo kwaajili yako weka tarehe tu hapa.Nimeumia sema kings too
asante my dada..............yani asubuhi nachek matokeo nikajisemea tu happy birthday to me yani kama walijua hivi kushinda ili furaha yangu iwe maradufu.![]()
Wooooooooohhhhhh!!! Happy birthday to you mumy, nakumbuka tumepishana siku mbili tuuuuuuuuuu......hahhahah dada!!! .....live long mumy na huu ushindi ni zawadi toshaaaa.
kiukweli kuna tofauti......na najua tutafika tunapotaka ni swala la muda tu.I can watch us playing nowadays... Tofauti na enzi zile za Moyes, LVG! we are getting better day after day, were are moving forward, creating chances.. Well, although we haven't been lucky lately but you can see the progress! I believe in Mourinho... Nimewahi kuwaambia wale washabiki wenzangu wanaomkosoa na kumdhihaki Mou watafute mechi zetu tukiwa chini ya Moyes au LVG waangalie utofauti.. tena tafuta zile za LVG ambazo tumeshida then karudie tena zile mechi tulizotoa draw na arsenal, burnley, everton! there is a big difference
Amen my dada.........cheers.
Kweli kabisa kuna mabadiliko yanaonekana, hata ile fear factor inarudi.....I can watch us playing nowadays... Tofauti na enzi zile za Moyes, LVG! we are getting better day after day, were are moving forward, creating chances.. Well, although we haven&[HASHTAG]#039[/HASHTAG];t been lucky lately but you can see the progress! I believe in Mourinho... Nimewahi kuwaambia wale washabiki wenzangu wanaomkosoa na kumdhihaki Mou watafute mechi zetu tukiwa chini ya Moyes au LVG waangalie utofauti.. tena tafuta zile za LVG ambazo tumeshida then karudie tena zile mechi tulizotoa draw na arsenal, burnley, everton! there is a big difference
Walikuwa wakosoaji mahiri kabisa kumbe walikuwa wanafurahia magumu tunayo pitia. Sasa kama tulikuwa wote penye majonzi mbona penye sharehe hawaonekani na taarifa wanazo na haina kadi sharehe yetu.Hahahahahq nyumba ya jirani inaungua
Khalafu weye umefanya jambo gani tena kule? Watu wanamsubiri mpishi nawe huonekani ila kuna jamaa alisema ngoja aje akuroge maana hamna namna.Rojo anapiga sana kazi nowdays
hahahaa mkuu mbna jana niliweka badae tena tunaendeleaKhalafu weye umefanya jambo gani tena kule? Watu wanamsubiri mpishi nawe huonekani ila kuna jamaa alisema ngoja aje akuroge maana hamna namna.
Wanasikilizia maumivu mambo yakiendelea kuwa hivi basi wajiandae tu kisaikolojia maana hata zile game tulizo toka sare ukitizama ni sisi ndio tulikuwa vizuri.Aseno kafungwa huwaoni
Sijapita mitaa hiyo wacha niende muda huu.hahahaa mkuu mbna jana niliweka badae tena tunaendelea
Kwa afya ya ushindi wetu.asante sana..........cheers.
kwa ushindi wa jana........siku yangu leo ya kuzaliwa imekuwa nzuri zaidi.
Happy birthday to me.
asante kaka.Happy Birthday Sister
kabisa...........Kwa afya ya ushindi wetu.