Shukran mkuu nimeionaIpo, angalia vizuri
Duh ule ugonjwa umerudi tena
Ndio wamecheza wakatolewaMata,Rooney wote wameanza
@OptaJoe: 6 – Man Utd haven’t won any of their six away league games in London since 2015-16 (D2 L4), losing each of the last three. Smoke.
kaniboa kweli hasa ya yule jamaa aliyepanchi mpira kwa mkonoIts good we won
Refa kuna sehem alikuwa harsh.
Lets hope mechi zijazo zitakuwa fresh pia
Yeah, FA inabid wa waangalie marefa wana shida gan na man utdkaniboa kweli hasa ya yule jamaa aliyepanchi mpira kwa mkono
Tumetoa draws nyingi. Draw inakupa 0GD.Ina maana Man U ana GD ya 5 tuu toka ligi imeanza...??!