Mara ya kwanza Jose Mourinho anamfunga Alain Pardew
kwa ushindi wa jana........siku yangu leo ya kuzaliwa imekuwa nzuri zaidi.
Happy birthday to me.
asante sana.happy birthday to you
HBD darling...Queens are born in Decemberkwa ushindi wa jana........siku yangu leo ya kuzaliwa imekuwa nzuri zaidi.
Happy birthday to me.
Carrick hajawahi kuniangushaIla nimejifunza kitu muziku huu wa man utd ni ngoma ya wazee tu hawa watoto wasubiri na hii combinenga ya carrick,herrea pogba nzuri sana
Touce', thank you for the wishes indeed Queens are born in December *wink*HBD darling...Queens are born in December
Happy birthday to you my jina lakokwa ushindi wa jana........siku yangu leo ya kuzaliwa imekuwa nzuri zaidi.
Happy birthday to me.
Happy birthday to youkwa ushindi wa jana........siku yangu leo ya kuzaliwa imekuwa nzuri zaidi.
Happy birthday to me.
asante sana..........cheers.Happy birthday to you my jina lako
asante ndugu.........Happy birthday to you
Aseno kafungwa huwaoniSijui tumepunguza ukarimu kwa wageni wetu!maana siku 4 hizi hawaji kwa wingi humu na wanaokuja ni wale wanamichezo wa ukweli wenye chuki wanapita kimya kimya humu.
Hahahahahq nyumba ya jirani inaunguaSijui tumepunguza ukarimu kwa wageni wetu!maana siku 4 hizi hawaji kwa wingi humu na wanaokuja ni wale wanamichezo wa ukweli wenye chuki wanapita kimya kimya humu.
kwa ushindi wa jana........siku yangu leo ya kuzaliwa imekuwa nzuri zaidi.
Happy birthday to me.
Nimeumia sema kings too![]()
Wooooooooohhhhhh!!! Happy birthday to you mumy, nakumbuka tumepishana siku mbili tuuuuuuuuuu......hahhahah dada!!! .....live long mumy na huu ushindi ni zawadi toshaaaa.
Sema na wewe umezaliwa mwezi huu nikuandalie special events kabisaaaaa!!! Unajua wewe ni partner wetu wa Man U ila ulitusalitiNimeumia sema kings too

Usiumieeeeeee! nipo kwaajili yako weka tarehe tu hapa.Nimeumia sema kings too