Kesho mapemaaaaaaa tunachinjaahongereni kwa ushindi wote........dah hatimae neno draw limetoweka midomoni mwa wengi.
Game ya spurs? Tactics za kupoteza muda zileHivi Morinho aliwaza nini kumuingiza Fellaini dakika ya 95?
The Arsenal cycleNaona ule mwezi wa mabango ya "Wenger out" umewadia.
Wanahatamia kwa sasaTge Arsenal cycle
Hahahaha

Habari ya Beyern Munich itakuwa iliwashtua sana.Wanahatamia kwa sasa![]()
Alizomewa kishenzi yaaani nilifurahi hatariiiiHivi Morinho aliwaza nini kumuingiza Fellaini dakika ya 95?
Game ya spurs? Tactics za kupoteza muda zile
wanahisi muda wa kuaga mashindano umefika.Habari ya Beyern Munich itakuwa iliwashtua sana.
Waneshindwa kucheza
Kapigwa 2-1Wakuu matokeo ya jana ya Arsenal yalikuwa vipi ?.
Ibra ni nani? Au mshambuliaji mpaka aingie na bunduki.man hawana mshambuliaji,
Tutavunjana mbavu jamani.. Hahaha..huyu bwana anataka ibra aingie na Ak47 kwa uwanja!Ibra ni nani? Au mshambuliaji mpaka aingie na bunduki.
Unajua ibra ana goli ngapi mpaka sasa kwenye epl?
Hahaha mkuu umenichekesha kweliIbra ni nani? Au mshambuliaji mpaka aingie na bunduki.
Unajua ibra ana goli ngapi mpaka sasa kwenye epl?