Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jumapili hamtoki aisee... Msijipe moyo!!! Game ya leo mmeshinda ila mmecheza vibaya mno
.
.
.
Ingekuwa ni dhidi ya Klabu ya EPL tungezengumza mengine.
Huyu ndugu tulikubaliana panapo majaliwa tuonane leo ila cha ajabu hajatokea na muda unakwenda.Eeh halafu nilitaka kusahau everlenk (first lady )na sister angalieni kipimo chenu leo hatutakuwa na wageni wengi pia kutupa chakula si jambo jema wengi wana kitafuta
 
Watu weweeeeeeeeeeeeeeeee!!!!....... watu ziiiiiiii!!!!...... mara ohhh! Hupindui kwa Spurs!!.......mara ohhhh Jumapili ndo kifo chenu!!!..... mara ooohhh Totenham anawaua..... hayaaaaa!!! Semeni sasa Jumapili si ndo hiiii!!!!!...... point tatu cash....... hahhahahahaaahhahaa....... waiterrrrrrrrrr please waongezeee wote ahhhhhhhh Mik ongezaaaaa!!!....ahhaaaaaa niongezeeeeeee mimi!!!!...... Glory Glory Manchester United.
 
Huyu ndugu tulikubaliana panapo majaliwa tuonane leo ila cha ajabu hajatokea na muda unakwenda.Eeh halafu nilitaka kusahau everlenk (first lady )na sister anagalieni kipimo chenu leo hatutakuwa na wageni wengi pia kutupa chakula si jambo jema wengi wana kitafuta
Wageni leo wanapita karibu na geti wanavua viatu na kunyata ili tusiwasikie kabisa!
 
Huyu ndugu tulikubaliana panapo majaliwa tuonane leo ila cha ajabu hajatokea na muda unakwenda.Eeh halafu nilitaka kusahau everlenk (first lady )na sister anagalieni kipimo chenu leo hatutakuwa na wageni wengi pia kutupa chakula si jambo jema wengi wana kitafuta
Hahahahahahhaaha kaka leo watakula tu wapende wasipende hata nyumbani kwao tutawapelekea!!!!
 
Huyu ndugu tulikubaliana panapo majaliwa tuonane leo ila cha ajabu hajatokea na muda unakwenda.Eeh halafu nilitaka kusahau everlenk (first lady )na sister anagalieni kipimo chenu leo hatutakuwa na wageni wengi pia kutupa chakula si jambo jema wengi wana kitafuta

Kipofu kaona mwanga.

Sikuhizi timu yenu imekuwa ya Ka'goli kamoja kamoja..

BTW. Ongereni kwa Ushindi. Ila haimaanishi kuwa ndio mmeanza ligi sasa..
 
Kipofu kaona mwanga.

Sikuhizi timu yenu imekuwa ya Ka'goli kamoja kamoja..

BTW. Ongereni kwa Ushindi. Ila haimaanishi kuwa ndio mmeanza ligi sasa..
Asante sana..... jana malaika aliachia tatu leo kaachia single but heavy kwa timu za leo!!!..... ohhhh!!! Kipofu tena!!.... nyani walichekana barabarani wana mikia.
 
Kipofu kaona mwanga.

Sikuhizi timu yenu imekuwa ya Ka'goli kamoja kamoja..

BTW. Ongereni kwa Ushindi. Ila haimaanishi kuwa ndio mmeanza ligi sasa..
Mambo yamebadilika kutoka hatuchomoi j pili mpaka ushindi wa kagoli kamoja ?kifupi uliiamini sana tot kuliko kuamini ila tunashukuru kutupongeza nasi tunasema ligi inapamba moto pamoja sana ndugu yangu.
 
Hongereni sn wakuu naona sasa wale AntiMourinho wataanza kukaa kimya.

Lkn ngoja niwatanie kidogo....

Eti mwezi uliopita mlishinda Mara moja Na huu mwezi huu ndio ushindi wenu mtakuja kushinda tena January mwakani!

Hahahahaaa
 
0aae850f72122cb65afaf09be32c2fef.jpg

Jose on Miki
 
Mambo yamebadilika kutoka hatuchomoi j pili mpaka ushindi wa kagoli kamoja ?kifupi uliiamini sana tot kuliko kuamini ila tunashukuru kutupongeza nasi tunasema ligi inapamba moto pamoja sana ndugu yangu.
Acha kabisa kaka leo nina furaha kubwa sana, siyo kwa simango zile watu tumetishiwa jumapili inakuja mpka basi !!!!! .... kila kona jumapili hiyoooo!!!!..... aaaahhhh jamani jumapili si ndo leo mbona mnajikaushaaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom