Hivi huyu Mkhitaryan mourinho alikuwa anamweka benchi kisa nini ?
Huyu kocha nae ana kiburi cha nyamongo kabisa
Kuna video Mkhitaryan alielezea kwanini alikuwa benchi na halikua kosa la Mou ila ni yeye mwenyewe, ndio maana aliporekebisha unaona anaanza kama kawa.