Uliona game la Jana? City walikuwa na 78% kwa 22% bado wakapigwa 4.
bora angeumia PogbaDah yaani mikhi ndio anaanza kuleta furaha kwenye timu ndio ameumizwa.........
Acha tu mwnanngu yule mngese nimemlaani aliemuumizaDah yaani mikhi ndio anaanza kuleta furaha kwenye timu ndio ameumizwa.........
bora angeumia Pogba
Furaha kubwa moyoniHahahahahahahahahahahahahaha...... GGMU
We can't afford to lose/draw anymore games this month, we have to beat Spurs and start a winning streak from there.
WE ARE UNITED
Up to now am sure you know how we can beat spurs.Very possible but how
Uwe na siku njema mkuuMpira ungekuwa unachezwa mdomoni kama hivyo usemavyo basi mngekuwa na record kama hii:-
WWWWDWWWWWDWWWWD