Katika timu iliyoanza...muingereza ni Jones tu, siyo?
Katika timu iliyoanza...muingereza ni Jones tu, siyo?
Martial akirudi kipindi cha pili nitamuaona Mourinho kweli kiburi
Mata au Rooney hizi nafasi anazozipata wanaweza kuzitumia na kuweza kishusha preshaUnataka nafasi yake aingie nani? na kwanini unaona hiyo itakuwa ni uamuzi mzuri kwa timu?
Ana kasi kuliko blind....pia upande ule Martial yupo na anashambulia japo kwa leo hayupo effectiveBlind anakaaje benchi kwa Darmian, tunahitaji krosi toka upande wa Kushoto.
Ana kasi lakini hajui kupiga pasi wala krosi.Ana kasi kuliko blind....pia upande ule Martial yupo na anashambulia japo kwa leo hayupo effective
hahahahahaaah...mkuu yaani we acha tuHivi huyu Mkhitaryan mourinho alikuwa anamweka benchi kisa nini ?
Huyu kocha nae ana kiburi cha nyamongo kabisa
hakuwa tayari kukabiliana na purukushani za EPL.Hivi huyu Mkhitaryan mourinho alikuwa anamweka benchi kisa nini ?
Huyu kocha nae ana kiburi cha nyamongo kabisa