Yaan we jamaa unaongea kitu ambacho daily nawaambia watu humu.Sikatai Kocha inabidi usimamie unachoamini na hicho ndio kinaleta uhalisia wa kocha ila mie nasema kwamba pia kocha inabidi ubadilike na tactics kwa jinsi zinavyofanya kazi. Mou anatumia tactics zile zile zilizomfelisha kipindi amerudi Chelsea mara ya pili......na bado zinamfelisha hapa UTD.
Belo uko sahihi mkuu ktk maelezo yako.Mourinho alifukuzwa Chelsea kwa sababu nyingi na hii ya wachezaji kumgomea inaweza kuwa sababu ndogo sana
1.Ligi ya England competition ni kali sana nafikiri miaka 5 iliyopita hakuna bingwa ambaye ameweza kutetea ubingwa wake timu nyingi zilichukua ubingwa msimu uliofuatia kumaliza top 4 imekuwa challenge (Man City,Man United,Man City ,Chelsea,Leicester).Ushindani wa EPL ukichukua ubingwa hupaswi ku-relax unapaswa kumotivate/kusajili timu iweze kupambana upya.Management ya Chelsea,Mourinho na wachezaji wa Chelsea walirelax sana.Ivanovic,Matic,Fabregas Hazard,Costa walirudi kwenye timu wakiwa off form na walikuwa wamechoka baada kucheza sana
2.Ku-motivate players pia ni kusajili wachezaji wapya ambao watakusaidia kupambana upya,Management ya timu haiku-msapoti kocha kwenye usajili alitaka kuwasajili Stones,Varane na Pogba but hakumpata hata mmoja baada ya mambo kwenda mrama ilibidi kumsajili Pedro karibia na deadline ya usajili.JT,Ivanovic na Cahil umri ulishawatupa na Mourinho huwa anakupumzisha ukiumia tu,nakumbuka JT pamoja na umri mkubwa alicheza mechi zote 38 .Wachezaji waliosajiliwa Baba Rahman ,Djilobodji hawakuwa chaguo la kocha
3.Ule ugomvi wake na daktari ni moja ya sababu kubwa kupunguza morali ya wachezaji,wachezaji karibia wote hawakumuunga mkono kwenye ile kesi hata management ya klabu hawakuipenda so Jose alianza kubaki peke yake kwenye timu ambayo kila mtu alikuwa anampenda
4.Msimu wa 3 huwa ni challenge kubwa sana kwa Mourinho kote alipofundisha
Naelewa mkuu....zamu yangu itafika utaniona kule kwenu.mkuu siko serious sana...!!!
Nawe usimchukie km adui yako. Bado ni kocha Wa timu yako halaliHahahaha
Unamtetea kama nduguyo hivi
Simkubali kwa kweli Mourinho wako, anafeli kuliko moyes!!!! na ata feli sana kama asipo kubali kuwa ni makosa yake.
Mara ya kwanza sijajua aliondolewa kwa sababu gani
Mara ya pili alishindwa ku manage timu, ikiwa ina kila kitu, sijui kama ata iweza man utd yenye mapungufu kadhaa.
Mourinho anasimamia kile anachokiamini Na ktk hilo sio muite ni shida zake. Hapana. Na yuko sahihi kusimamia hicho anachoaminiBelo kaeleza vizuri ila amemakizia kwa kusisitiza kuwa Mourinho ana shida zake
Sasa zile shida alizo maliza nazo zile ndio zitamtoa man utd
Arleta hivyo unahakiKwanini mkuu?
Ndani ya Kante namuona Claudio Makelele. Ndani ya hawa watu wawili yani Kante Na Matic naona wanatengeneza ngome ngumu km ya Utd chini ya Scholes iliyokua ikilindwa Na kua salama muda wote.
Au ndani ya hii pair ya Kante Na Matic naona ni ile ngome ngumu ya Gunners iliyokua chini ya Gilibeto Silva
Tuchague moja
Either tutoke Europa halafu tukomae na ligi
Au
Tukomae na Europa ila ligi tukubali kuwa wa 8
Sjui itakuwa vip hapo
Option ya kubaki EUROPA ina takiwa hapo hadi kombe lichukuliwe ila la si hivo , unajikuta kama Klopp mwaka jan, unaonekana umefanya kaz kibwaa yet u have nothing to showbaki europa
Kaka mm niko poa kabisa nimekumiss sana Halafu nina Furaha sana wa jina amerudi .... ...... woyoooooooo Bailly is Back!!!!!!!Nakusalimia my sister. Hope uko poa?
Acha usenge wewKuuza jersey