Tehe tehe tehe najua antiMourinho wengi mtaongea mtakavyo lkn km kocha akipewa nafasi ya kuongea utaona namna atavyowashambulia hao wachezaji.hapo kwenye RED ni uongo
same group of players waliopo sasa ukimrejesha SAF anatoboa
SAF alikuwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza timu za ushindi hata wachezaji wa viwango vya KAWAIDA
tunaofutailia mpira tuna recognize uwezo wa SAF
waweza argue kuwa 2008 na 2009 ndo Manure kwa miaka ya karibuni walikuwa na full of superstars na powerhouse
ila 2010-2013 vikosi vya SAF vilikuwa vya kuunga unga ila anapata matokeo
SIAMINI kabisa matatizo ya manure ni WACHEZAJI maana hawa hawa ni wachezaji wazuri tu kuna kitu lazima kitoke kwa MWALIMU na HAKIPO
Ntunzu seriously kuna vitu vya kuongea kisport sio hiyo comparisonChelsea wana ukuta Wa uwezo Wa Schols.
Kante Na Matic wamethibitisha hilo ndio maana Chelsea imecheza games 8 Na kufunga goli 22 Na kufungwa goli 2 tu. Na Sasa kipa wetu kazi Yake ni kulala tu.....
Kwanini mkuu?Ntunzu seriously kuna vitu vya kuongea kisport sio hiyo comparison
Ubishi hauji kwa tu bure bure lazima uwe Na sbbu za msingi.
Conte pia japokua ameshinda michezo kadhaa lkn timu Yake haiko imara vzr kuna makosaengi pia kwa Conte Na Chelsea. Unaweza kurejea game ya Chelsea na Spurs pale darajani spurs walikua bora kuliko sisi Ni uzembe wao tu vinginevyo walipaswa kukill game first half tu. Unaweza kusema ni uwezo binafsi au bahati tu tukawafunga lkn spurs they were better than us.
Tukija kwa city hapo Etihad ndio usiseme. Kuna mengi tunapaswa kuyafanyia kz Na kuinprove kila baada ya game. Hasa hizi big game maana huwezi kua bingwa bila kuwapiga washindani wako hawa top four.
It's your time enjoy !!!! Saga sumu kweli kweli maana ikifika mytime sikuonei huruma kabisa!![emoji2]
Hahahahaha hapana aiseee!!!Najua unaipenda Arsenal, kule hakuna hofu [emoji23] [emoji23] [emoji23] na Mungu fundi kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tehe tehe tehe najua antiMourinho wengi mtaongea mtakavyo lkn km kocha akipewa nafasi ya kuongea utaona namna atavyowashambulia hao wachezaji.
Kuwa bingwa hauhitaji uwe perfect unahitaji uwe excellent tu katika kukusanya point, na ndio kazi mnayo ifanyaUbishi hauji kwa tu bure bure lazima uwe Na sbbu za msingi.
Conte pia japokua ameshinda michezo kadhaa lkn timu Yake haiko imara vzr kuna makosaengi pia kwa Conte Na Chelsea. Unaweza kurejea game ya Chelsea na Spurs pale darajani spurs walikua bora kuliko sisi Ni uzembe wao tu vinginevyo walipaswa kukill game first half tu. Unaweza kusema ni uwezo binafsi au bahati tu tukawafunga lkn spurs they were better than us.
Tukija kwa city hapo Etihad ndio usiseme. Kuna mengi tunapaswa kuyafanyia kz Na kuinprove kila baada ya game. Hasa hizi big game maana huwezi kua bingwa bila kuwapiga washindani wako hawa top four.
Natoa lakini wewe huyatakiTehe tehe
Hutoi majibu
Matatizo ya Utd ni viungo
Kuna mambo mengi Mourinho anapaswa kuyafanya ktk hiyo timu na kuanza kumpima sasaivi eti kashindwa hasa ukiangalia kua ana muda gani hapo itakua ni makosa sn. Timu iko na falsafa Yake Na itikadi zao Na Sera zao pia Na kocha pia ana mambo Yake pia. Yote haya yanahitaji muda kuyafanyia kz ili yaweze kuleta matunda ktk timu. Lkn kwa Mourinho na huu muda mdogo Na usajili alioufanya bado sn kushambuli.Kaka hapo ndio kuna tatizo, kama unakumbuka Utd ya SAF wapinzani walikua wanasema kwamba tunabebwa au tuna bahati ila kumbuka wahenga wa kizungu wanasema "Fortune favours the brave". sijasema kama Chelsea haina makosa au hakuna timu isiyofanya makosa ila technique za Mou hazifanyi kazi pale Man Utd kama tactics za Conte zinavyofanya kazi pale Chelsea.
Yani huyo Mourinho mkimtimua Utd timu kibao zitamuhitaji....Wewe unadhani na wachezaji wakipewa nafasi ya kuongea itakuaje ......halafu mou akizingua UTD inabidi aangalie ustarabu China,Marekani au Mid tables timu.
Tatizo ni wachezaji.Natoa lakini wewe huyataki
Tatizo kocha
Kuwa bingwa hauhitaji uwe perfect unahitaji uwe excellent tu katika kukusanya point, na ndio kazi mnayo ifanya
I wouldnt care kama tuna kaa nyuma tu ila tuna beba points na ndio bingwa anavo patikana.
Conte hiyo kazi ana ifanya, labda ashindwe baadaye
Kuna mambo mengi Mourinho anapaswa kuyafanya ktk hiyo timu na kuanza kumpima sasaivi eti kashindwa hasa ukiangalia kua ana muda gani hapo itakua ni makosa sn. Timu iko na falsafa Yake Na itikadi zao Na Sera zao pia Na kocha pia ana mambo Yake pia. Yote haya yanahitaji muda kuyafanyia kz ili yaweze kuleta matunda ktk timu. Lkn kwa Mourinho na huu muda mdogo Na usajili alioufanya bado sn kushambuli.
Conte ni kocha pekee ktk EPL ambae tactics zake zinaonekana kuwork out lkn Klopp ana misimu miwili ktk LFC bado ana fail. Guardiola huko Etihad bado Na yeye ana fail.... Kwahiyo utaona ni Conte, Wenger Na Pochetinho Wa Spurs ndio wana nafuu kidogo. Hapa ndio nakuja ktk point yangu kua Mourinho na muda wake mdogo huu ana hangaika wengine pia wanahangaika.
Mourinho anapaswa kuijenga Utd kwa kununua wachezaji km alovyoijenga Chelsea.
Kuna mambo mengi Mourinho anapaswa kuyafanya ktk hiyo timu na kuanza kumpima sasaivi eti kashindwa hasa ukiangalia kua ana muda gani hapo itakua ni makosa sn. Timu iko na falsafa Yake Na itikadi zao Na Sera zao pia Na kocha pia ana mambo Yake pia. Yote haya yanahitaji muda kuyafanyia kz ili yaweze kuleta matunda ktk timu. Lkn kwa Mourinho na huu muda mdogo Na usajili alioufanya bado sn kushambuli.
Conte ni kocha pekee ktk EPL ambae tactics zake zinaonekana kuwork out lkn Klopp ana misimu miwili ktk LFC bado ana fail. Guardiola huko Etihad bado Na yeye ana fail.... Kwahiyo utaona ni Conte, Wenger Na Pochetinho Wa Spurs ndio wana nafuu kidogo. Hapa ndio nakuja ktk point yangu kua Mourinho na muda wake mdogo huu ana hangaika wengine pia wanahangaika.
Mourinho anapaswa kuijenga Utd kwa kununua wachezaji km alovyoijenga Chelsea.
Hapana mourinho ana wachezaj asilimia chini ya 50 ambao ana wapanga consistently, hata timu yake ya chelsea iliyo kuwa bingwa ilikuwa ina first eleven, mwaka jana leceister walikuwa wana julikana, mwaka huu chelsea kabla hata sja enda kwenye mechi napanga kikosi.
Sasa yeye mabadiliko anayo yafanya yana msaidia nn!!?, ndio maana tunao mpinga tuko pragmatic kuwa anafanya madiliko, matokeo yanakuwa mabaya , this means ana kosea mabadiliko yake.
Nakubaliana na wewe kuwa tukishinda sita lalamika kwa sababu atakuwa amechukua maamuzi sahihi. Ila tukifungwa ndio tuna expose anacho kosea ni nn, moja ya kosa ni hana kikosi cha kwanza, hivo ana kosa consistency na team spirit.
Sisi tunaiyo spirit ya uvumilivuHahahaha kwenu pazuri eeeehhhh haya[emoji122] [emoji122] [emoji122] hivi kwanini unataka tumtimue kocha wetu wakati wako umemvumilia miaka yote na still believing atafanya vizuri?
Hahahaha Haya kaka. ........ soka bila fitina halinogi!!!basi hujui tu mi nina mercy sana, kwanza shabiki wenzio wakipitia stress hamna raha unayopata
kimsingi nyie manure ndo mmesababisha fans wa timu zingine wawanange maana mmekuwa na maika ya glories mkawa mnawatania na kuwanyima raha......hehehe sasa kama ni PAYBACK TIME....ooh revenge ofcoz
ila wacha muone wenzenu walichokuwa wana experience na BADOOOO!!! (siko serious sana msi maind)
Tatizo ni wachezaji.
Sidhani kama unamfahamu Mourinho vizuri mfumo anaotumia na wachezaji anaowapenda
1.Huwa anapenda kuwa na one powerfull striker (Drogba,Etoo,Benzema,Costa -Zlatan) na anapenda CB wenye umbo kubwa (JT-Carvalho,Lucio-Samuel-Materazi,Pepe-Ramos-Carvalho,JT-Cahill-Zouma)
3.Siku zote fullback(Marcelo-Arbeloa,Maicon-Zanetti,Ivanovic-Azpi) na winger ambao wanakaba(Duff-Roben-Cole-,Zanetti-Muntari,Di Maria,Wilian-Hazard) ndio inakuwa silaha yake kwenye ushambuliaji.Mata na Martial wameweza ku-adapt kucheza anavyotaka
4.Jose alivyotua Chelsea mara ya pili tayari alirudi kwenye timu anayoijua na baadhi ya wachezaji anawajua/wanamjua so yeye kutengeneza first eleven ilikuwa rahisi.Chelsea aliwakuta Cech-Ivanovic-Cole-Cahill-Zouma-JT-Azpi-Ramirez-Lampard-Hazard-Oscar-Mikel-Ba akawasajili Cesc,Matic,Costa na hawa wote waliingia kikosi cha kwanza na walikuwa among key players Chelsea ilivyochukua ubingwa
Mourinho -Manchester United
Most players aliowakuta wengi hawafit kwenye mfumo wake ingawa sio wachezaji wabaya nafikiri umeona Depay,Bastian Darmian,Morgan,Rojo,baadhi wameweza ku-adapt mfumo wake (Valencia,Herrera,Mata na Martial kama umemuona last 3 games).Cha kwanza alisajili wachezaji ambao wanafit kwenye mfumo wake Ibra,Pogba,Mikhi na Bailly
Hakuna alisema Mourinho hakuna anachokosea ,Nini Mourinho anakosea-anapaswa kufanyia kazi haya
1.Ametengeneza mfumo unaomfanya Ibra tu ndio afunge magoli so akikabwa/asipocheza United wanastrugle kufunga magoli,timu inapaswa kutengeneza nafasi kwa wachezaji wengi mmoja akibanwa mwingine anafunga.Liverpool/Arsenal wanafaidika sana kwenye hilo,anaweza kujaribu kutumia 4-4-2 wacheze Ibra-Rashford au 4-3-3 Ambao itabidi winger wawe wanamsaidia Ibra hata game ya Everton second half Ibra alikuwa isolated peke yake mbele sometimes akawa anarudi katikati kutafuta mpira
2.Fullback ni silaha kubwa kwenye mfumo wake kwenye kushambulia last season Ivanovic alikuwa chini ya kiwango Chelsea ilipata tabu sana.United inamtegemea Valencia tu/upande wa kulia kwenye kushambulia so akibanwa nae timu inastrugle Timu inashindwa kabisa kushambulia upande wa kushoto Darmian ni liabilty kushambulia.Blind/Young ni option nzuri kwenye kushambulia kuliko Darmian
3.Moja ya kosa analofanya ni kumchezesha Rashford winga,akicheza pembeni anakuwa liability kwenye timu sababu muda mwingi anatakiwa arudi kumsaidia fullback na hiyo kazi hawezi.Mata/Martial/Mikhi,Lingard na Rooney hawa ndio awachezeshe pembeni