1.Ukiondoa Conte unaweza ukaleta statistics za hao makocha walichofanya baada ya miezi 3 ukilinganisha na makocha waliowa-replace ?
2.Again ukiondoa Conte je kuna kocha aliikuta timu kwenye hali mbaya kama Jose alivyoikuta United ?
3.Yes Mourinho aliiacha Chelsea kwenye hali mbaya but kumbuka
second spell Mourinho kafundisha misimu 2 na nusu
Msimu wa 1-Alishika no 3
Msimu wa 2-Bingwa EPL &Carling
Msimu wa 3-Alifukuzwa katikati ya msimu,hiyo misimu 2 ya mwanzo hutaki kabisa kuizungumzia
1.Ukiondoa Conte unaweza ukaleta statistics za hao makocha walichofanya baada ya miezi 3 ukilinganisha na makocha waliowa-replace ?
2.Again ukiondoa Conte je kuna kocha aliikuta timu kwenye hali mbaya kama Jose alivyoikuta United ?
3.Yes Mourinho aliiacha Chelsea kwenye hali mbaya but kumbuka
second spell Mourinho kafundisha misimu 2 na nusu
Msimu wa 1-Alishika no 3
Msimu wa 2-Bingwa EPL &Carling
Msimu wa 3-Alifukuzwa katikati ya msimu,hiyo misimu 2 ya mwanzo hutaki kabisa kuizungumzia
Tuchel kapewa timu msimu uliopita, unajua saiz ni wangapi?1. Tuchel (Dortmund)
2. Zidane (Madid)
3. Conte (Chelsea)
4. Ancelotti (madrid)
5. Blanc (PSG)
Nimekutajia wa tano hao hapo.
Mtu kama Ancelotti, ni wa pili kwenye ligi huyu ana struggle reasonably, kina Allegri wali strugle for about a month, baada ya hapo ana hit the road. Makocha hao hawakuwa wa 6 kwenye ligi zao, yet tulisema wana struggle, huwezi kumfananisha Mou na hao, at least Emery nilihis ata shindwa. Klopp nilieleza kuwa alikuja liva wakati msimu usha anza na aliwakuta kwenye hali mbayaa.
Sidhani kama ni reasonable kuwafananisha hao, na kumbuka Mourinho hata alikotoka Chelsea ali iacha ikiwa hali mbaya, mara ya pili hii tunarudia hili jambo mkuu.
Its cleary Mou yuko kwenye deep struggle zaidi.
herrera mi nasubiri mawazo mapya toka kwa Iceman 3D maana nataka kuanzia msimu uliopita ni sbbu ipi ilipelekea Leicester city kuchukua ubingwa Wa EPL?Tuchel kapewa timu msimu uliopita, unajua saiz ni wangapi?
Huyu anachuki binafsi na mou, huwezi kufananisha timu aliyoachiwa mou na madrid aliyoachiwa Zidane, au bayern aliyoachiwa ancellot,
Km ana chuki na Baba Mou tutajua tu. Maana anadai kuleta mawazo mapya na Mimi nakubali kupokea mawazo hayo mapya tena kwa nguvu zoooote. Sasa km atapenda anijibu maswali yangu ambayo nimepanga kumuuliza nikimuongeza na Hili jingine.Huyu anachuki binafsi na mou, huwezi kufananisha timu aliyoachiwa mou na madrid aliyoachiwa Zidane, au bayern aliyoachiwa ancellot,
Anasema tuchel anafanya vzr bvb, hapa napo napata tatzo kidgo kwamba huyu mkuu huwa anafuatilia kweli kinachoendelea au anaendeshwa na chuki binafsi
Nakupa jokes kidogo mukulu...Huyu anachuki binafsi na mou, huwezi kufananisha timu aliyoachiwa mou na madrid aliyoachiwa Zidane, au bayern aliyoachiwa ancellot,
Anasema tuchel anafanya vzr bvb, hapa napo napata tatzo kidgo kwamba huyu mkuu huwa anafuatilia kweli kinachoendelea au anaendeshwa na chuki binafsi
Nyingine hii wakati tunasubiri uchambuzi muzuri toka kwa Iceman 3D.Huyu anachuki binafsi na mou, huwezi kufananisha timu aliyoachiwa mou na madrid aliyoachiwa Zidane, au bayern aliyoachiwa ancellot,
Anasema tuchel anafanya vzr bvb, hapa napo napata tatzo kidgo kwamba huyu mkuu huwa anafuatilia kweli kinachoendelea au anaendeshwa na chuki binafsi
Sabab kubwa ziko mbili,Naona kuna mjadala mkubwa sn na wenye mvutano mkubwa sn.....
Mimi nimeona ukidai kia wewe ni shabiki Wa Man Utd Mwenye uchungu mkubwa.
Sasa Nina vi maswali hapa kidogo nitapenda nikuulize kamoja baada ya kingine. Maana nataka kujua hayo mawazo mapya toka kwako.
Ktk msimu uliopita ni sbbu ipi kubwa ilipelekea Leicester city kuchukua ubingwa Wa EPL?
Karibu Iceman 3D
[emoji23] [emoji3] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] We We arsenal mwenzangu wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aliyeanguka nani huyoNyingine hii wakati tunasubiri uchambuzi muzuri toka kwa Iceman 3D.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] View attachment 443546
Baba Yangu Jose Mourinho[emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji13]Aliyeanguka nani huyo
Unataka kocha ambaye his coaching prowess has been proved in more than four major European Leagues afukuzwe hata kabla ya kufikisha nusu msimu! A coach whose carreer has been awash with trophies and accolades! Really!? C'mon man
Basi kuna rafiki yangu mmoja alikua anampenda fellain usimwambie kitu na anamchukia mata balaa[emoji23] [emoji23]Nakupa jokes kidogo mukulu...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] View attachment 443544
Vzr sn na asante sn kwa majibu yako.Sabab kubwa ziko mbili,
1. Organization ya leceister yenyewe ilikuwa nzuri (hii ndio ilifanya wao wakawa mabingwa hasa)
2.timu ambazo huwa zinashindania ubingwa zilishuka sana
Sema asikwambie mtu kipigo kinauma acha WDDDDDDDDLLLDD Sio mchezoBaba Yangu Jose Mourinho[emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji13]
Hahahahaaa.......Basi kuna rafiki yangu mmoja alikua anampenda fellain usimwambie kitu na anamchukia mata balaa[emoji23] [emoji23]
Sasa ile juzi bahati nzuri nilikua nae tunaangalia mechi, ila niliishia kipindi cha kwanza cha pili sikuangalia, baada ya game nika mtext vip matokeo? Alichojibu akasema tu "HATA RONADINHO ALIKUA ANAKOSEA" kuja kufuatilia kumbe fellain aliingia na kuchoma[emoji23] [emoji23]
Ni kweli lkn nyie hampigwi nyie sare ndio zinawaghalimu.Sema asikwambie mtu kipigo kinauma acha WDDDDDDDDLLLDD Sio mchezo
Hapo ndio tunapo pishana na wewe, kila kinacho endelea now, kocha lazima aingie kwenye lawama, anaweza asiwe kocha pekeeKinachoendelea kwa Utd tatizo sio kocha. Kweli kuna shida kadhaa Wa kadhaa lkn tatizo sio kocha.