Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kupitia group letu la WhatsApp leo kuna mdau karusha hii kitu sijui kama ni kweli au kaamua kuturusha roho wanazi wa Man.

1 Man United 1 - 0 Arsenal
Fellain comes on
FT Man United 1 - 1 Arsenal

Man United 1 - 0 Westham
Fellain comes on
FT Man United 1 - 1 Westham

Everton 0 - 1 Man United
Fellain Comes on
Everton 1 - 1 Man United

Einsteins Theory of insanity "Doing the same thing over and over again expecting different results"
 

Mtu unaweza kulia dadeki fella
 
Nimetokea kuupenda uchambuzi wako mkuu. Fans wote wa futboli inabidi tuwe hivi
 
Marefa wa England wanazidi kuwa vimeo nafikifiri umeona hata game za leo madudu waliyofanya

1.Rojo alipaswa kupewa straight red card

2.Barry alipaswa kupewa red card

3.Bournamouth walinyimwa penalt ya halali
marefa na wao ni binaadamu, hawako perfect ingawa wanauzi ila inabidi tuwavumilie tu
 
 
We can't afford to lose/draw anymore games this month, we have to beat Spurs and start a winning streak from there.

WE ARE UNITED

Kiunazi zaidi...Mtashinda Europa game on Thursday afu mtarudi katika mlipotoka. Draw, draw, draw and defeat.... Baada ya hapo ni kumlaumu Fergie kwa kuwaachia timu mbovu, then Moyes kwa kumsajili Fellaini, LVG kwa kumsajili bishoo Memphis.
 
Daaaa pole sana kaka inaumiza sana. But usiofu haya ni mapito tu. Hata liverfool alifanywa kitu mbaya na wale madogo bournemouth. Ona yaliyomkuta kocha wao....!!!
 
We can't afford to lose/draw anymore games this month, we have to beat Spurs and start a winning streak from there.

WE ARE UNITED
Mpira ungekuwa unachezwa mdomoni kama hivyo usemavyo basi mngekuwa na record kama hii:-










WWWWDWWWWWDWWWWD
 
nimependa maelezo yako.mimi huwa kila siku najiuliza kitatokea kitu gani kama kocha atamtumia mata pamoja na mkhityaran kwa pamoja.
Mkuu umewaza kama mimi kuhusu combo ya mata na mikhi. Tatizo sie hatuchezi mpira wa kushambulia kwa kumiliki mpira,na ukilitaka hilo mikhi,mata na herrera wanafaa kwenye mfumo. Lakini mou anaweka winga kwa ajili ya kukaba zaidi,na mbaya zaidi hata kwa timu ndogo na mbovu,mbinu haibadiliki. Binafsi naona pogba namba kumi haimpendeza kuliko wazza,mata na mikhi.
 

1.SAF alishaondoka na hakuna kocha ambaye anaweza kufikia mafanikio yake kwenye mpira wa sasa,hakuna wa kumfananisha naye so timu lazima imove on

2.Kikubwa unachonishangaza ni kusema LVG alifanikiwa kuliko Mourinho, Msimu wake wa kwanza alichemsha sana Rooney alikuwa mfungaji bora wa timu alifunga 14 goals now Ibra hata nusu ya msimu bado lakini amefikisha idadi hiyo lakini tulimtetea tukasema anahitaji muda ili atengeneze timu yake so msimu wa pili alikuwa ameshanunua zaidi ya 10 players na philosophy yake ilianza kuonekana tukawa tunacheza pasi nyingi kwenye half yetu Rooney alichezeshwa no 6,Young,Fellaini na DiMaria walichezeshwa kama striker na Herrera mara nyingi alipigwa bench

3.Hakuna anayemtetea Jose kama hatabadilika tutaanza kumponda but anahitaji muda kwa sasa na hata akifukuzwa now hakuna kocha anayeweza kuibadilisha hii timu baada ya miezi 4,5

4.Klopp huu ni msimu wa pili pamoja na kufanikiwa kutengeneza timu nzuri lakini bado ameshindwa kutengeneza defence na hakuna anayesema afukuzwe,Guardiola sijaona jipya alilobadilisha so far hakuna anayesema afukuzwe



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…