Moyes alipewa timu kipindi kigumu sana (SAF ndio alikuwa kastaafu) watu waliamini timu bado ni bora sababu ni bingwa mtetezi na kilichomwangusha zaidi hakuwa na influence kwenye kusajili wachezaji wakubwa(Fabregas,Baines,Herrera,Kroos) wangeweza kusajiliwa fedha ilikuwepo na wachezaji walikuwa available.Kama angemaliza top 4 asingefukuzwa
Its frustrating na inauma lkn inabidi tusubiri tu mou ajibadlishe mbinu maana nguvu kazi anayo ni jinsi ya kuitumia ndio shida tumebdlisha 2 managers na wala hakuna tofauti kubwa huyu apewe muda aijenge tuone but inauma
Hapa sasa unaendekeza unazi...umesahau katika soka kuna matokeo matatu: kufungwa, kutoa sare ama kushinda. Sasa naona wewe umeamua kujivisha upofu na kuacha kwa makusudi tokeo la tatu.nikwambie tu NEXT WEEK na SPURS hiyo ni big TEST kwenu japokuwa mtakuwa OT
mnaweza mkaambulia sare ingine au mkafungwa jambo ambalo litawamaliza kabisa
Hivi braza, nini mtazamo wako wa 10 years without an EPL championship under the same manager?! Pengine una sababu ya kutufundisha kuepuka fukuza fukuza!may be wamejifunza....kufukuza ma manager sio kila mara huzaa matunda
afu kaka Fellain naona kama fans wengi wanamfanya scape goat.....mambo ya witch hunt
MOJA :everton walikuwa ovyo kabisa walikuwa hawana uwezo wa kucheza hata pasi 3 washabutua na mpira wanawaletea ilifaa game mumalize 1st half kwa kufanya build ups za maana
PILI: mmliingia kwenye TRAP ya kucheza mpira wao ghafla mlipanic second half mkawa MNABUTUA BUTUA kama wao
TATU: ukitizama kwa makini IBRA mnambebesha mzigo kubwa sana....wings na AMD wanafaa wamsaidie sana, kuna wakati anakuwa ISOLATED pale mbele, jambo la hatari ni kuwa IBRA akipata injury mta struggle mara dufu kupata magoli
maana kama naona TIMU imejengwa kumzunguka yeye na KUMBUKA ni 35 year old umri huo ni DELICATE kila game huyo huyo ni kama BUBBLE ambayo yaweza BUST mda wowote
Naifahamu sana EPLimagine sasa....unadhani kwa TREND HII mourinho ataipata TOP 4?
Confidence ya timu inakuwa chini kadiri mnavyopata matokeo HASI
nikwambie tu NEXT WEEK na SPURS hiyo ni big TEST kwenu japokuwa mtakuwa OT
mnaweza mkaambulia sare ingine au mkafungwa jambo ambalo litawamaliza kabisa
daah hali sio shwari mazee
Hapa sasa unaendekeza unazi...umesahau katika soka kuna matokeo matatu: kufungwa, kutoa sare ama kushinda. Sasa naona wewe umeamua kujivisha upofu na kuacha kwa makusudi tokeo la tatu.
Despite our recent form, the three possibilities are always there...
Mourinho alifungiwa kwa sababu ya previous history. Mourinho ukikumbuka alikuwa na suspension bans, fines kabla ya last incidents ni kama vile mchezaji anavyopata yellow cards kadhaa (5)then anafungiwa mechi 1. Wenger aliombwa msamaha sababu alikosa sehemu ya kukaa(ktk stand ) baada ya kutoka nje Lakin refa akazidi kung'ang'ania atoke nje . Ukiangalia ile picha utaona akiashiria there's no more further places he can go
Naifahamu sana EPL
Kwangu top 4 hata ubingwa bado uko available so far Chelsea ndio timu iliyo stable naipa nafasi ya ubingwa na kutokuwa na mshindano mengi kumewapa,sana faida.Bado kuna fixture ya December/January i hope kuna timu zinateleza tu
Liverpool-Defence yao bado mbovu na mfumo wao unawategemea some players(Lalana,Coutinho,Firmino) wanapata sana taabu wasipokuwepo
Arsenal-Sijaona walichobadilika miaka yote
Man City-Hawana tofauti sana na United ingawa wao foward wao wanafanya vizuri
ofcourse mathematically every EPL team can become champion as we speak .........!!!! but realistically it is a different story
Sija li discredit goli, ninacho sema lilikuwa ni kosa la kipa na si ufundi wa Ibra ulio sababisha goli. Tuna option mbili tuuKaka, jibu maswali yangu.
BTW, unajua kwamba katika soka, magoli siku zote utokana na kosa lililofanywa na timu pinzani? Sasa nakushangaa unapodharau goli la Zlatan kwa kusema lilitokana kosa la kipa, as if it ain't normal in football.
What's your way forward? As a football analyst (as you try to make yourself, one) what should United do?
Ntamjaji kidogo kidogo mpaka msimu unaisha, mpaka sasa kitu positive sijakiona ndio maana nasema hivo. Niki kiona ntasema.Since Mourinho amekuja United hujawahi kuona anything positive so utaendelea kumlaumu kila siku kibaya zaidi hata mengine hajafanya unamsingizia kila kitu,kibaya zaidi unasema bora LVG angebaki
Naifahamu sana EPL
Kwangu top 4 hata ubingwa bado uko available so far
Sawa see you mechi zinazo fuataUna personal problem na Mourinho so huwezi kuona improvement hii ndio game ambayo naweza kumlaumu Mourinho 100%
Naifahamu sana EPL
Kwangu top 4 hata ubingwa bado uko available so far Chelsea ndio timu iliyo stable naipa nafasi ya ubingwa na kutokuwa na mshindano mengi kumewapa,sana faida.Bado kuna fixture ya December/January i hope kuna timu zinateleza tu
Liverpool-Defence yao bado mbovu na mfumo wao unawategemea some players(Lalana,Coutinho,Firmino) wanapata sana taabu wasipokuwepo
Arsenal-Sijaona walichobadilika miaka yote
Man City-Hawana tofauti sana na United ingawa wao foward wao wanafanya vizuri
Doh! Wapi nimesema nimewa-underestimate Spuds? Mimi nilichofanya ni kusema lolote kati ya: kushinda, kifungwa, kutoa sare, linawezekana. Na siyo kusema possible results ni kwa United kufungwa au kutoa sare. Hili ndilo nimelipinga.si
Nzi husije waa underestimate spurs ndugu yangu!! game hiyo ni ngumu
Mou kwa msimu huu ame-target ubingwa wa "kikombe cha mbuzi". Fainali itakuwa baina ya Mou na Klopp.Ubingwa haupo
Top 4 ni asilimia 10%, ambayo ita require Mourinho abadilike kwa asilimia 90%
Mambo kama haya.
Points ..... 21 kati ya possible 42 = 50.0%.
Wins ...... 5 kati ya possible 14 = 35.7%.
Hivi uliona wali bingwa ana patikana kwa trend ya kupata asilimia 50%, ya possible points!?
Kwa mwendo huu tuta ishia 7-8, morali iko chini na kadir tunavo endelea kutopata matokeo itashuka zaid.
Mathematicaly hata west brom wanaweza kuwa mabingwa kwani wametuzidi magoli ya kufunga. Ila ki uhalisia nafas ya ubingwa si ioni hapo.
Sija li discredit goli, ninacho sema lilikuwa ni kosa la kipa na si ufundi wa Ibra ulio sababisha goli.
1.Mourinho afukuzwe.
Yeah najua mtasema mapema mnoo lakini mapema ndio vizuri, mou mpaka sasa hana kikosi cha kwanza, haja weza kufanya sub za maana, kashinda mechi chache sana, pia kumbuka chelsea walichelewa kumfukuza lakini haku improve, nadhan Mou wa kuanzia mwaka 2013, mpira ulisha anza kumpotea.
Mechi 11 za mwisho za Mou hizi
1-1, 1-1, 1-1 3-1, 0-0, 0-4, 0-0, 1-1, 4-1, 1-3 na1-2.
9 points out of a possible 33 ..... 27.3%
For now yeye ndio kocha mbovu kuliko wote tangu babu Alex astaafu.
2.Mou abaki lakin afanye yafuatayo.
-Pogba haja fiti kwenye timu atafute namna ya kumfanya afit ambayo ni kutafuta mfumo utakao muwezesha Pogba acheze na ma mido wa 2, ambao kati ya hao lazima mmoja awe na kasi mfano angalia alipo kuwa akicheza yeye, vidal na pirlo, mechi nyingi anazo cheza yuko slow si lazima acheze kama hafit kwenye mfumo au badilisha mfumo
-awatumie Basti na Schneiderlin, mechi nyingi tuu zimeonesha umuhim wao. Pia kuna madogo kama kina Tuanzebe na TFM awatumie, uzuri wa LvG tulikuwa tunafeli lakin at least unaona anatumia vijana. Huyu wa sasa hawatumii hao madogo na ana zidi kuboronga kuloko Sir LvG
-timu haina discpline na morali, ni kazi yake hiyo kufanya morali na nidhamu viwepo mfano. Angalia jinsi tulivyo fungwa magoli msimu huu kwa dakika.
Watford (83'+90'), Arsenal (89'), Everton (89'), Fenerbache (83'), Stoke (82') and Feyenoord (79').
Chelsea (1'), Fenerbache (2') and West Ham (2').
Timu ina onesha hapo ni no self-control, no discipline, no awareness, hili ni kosa lake awaande wachezaji wakabiliane nalo yeye ndio kiongozi.
-aache kuwapendelea Pogba na Ibra, anaweka matabaka, hasa Ibra hata leo ilitakiwa ibra apigwe sub, pia asiwa treat hao kama ndio wana stahili kupata game time kuliko wengine, kama ameweza kumuacha Blind na kuanza na Darmian alishindweje ku msub Ibra ambaye kuna Tym alichoka kabsa!? Matabaka yanavunja umoja.
-Mikhi ni mchezaj muhim amtumie vzuri kwa sasa hafanyi hivo bado.
I have never seen a football club's fan this bitter, negative and pessimistic about his/her team. Honestly, you are just hurting yourself, especially knowing that no matter how bitter and pissed you are, you will have no IMPACT on what happens at United! The best thing you can do, is to enjoy the moment, feel sorrow for bad days in the office, and MOST IMPORTANTLY, be rational.tutakuwa tunafungwa mpaka tuzoee.